pale millenıum park ubungo manual ni 1.8m na auto ni kuanZia 7m, mi nilitengeneza ya kufoji kwa laki 7, yaani materıal duni nimefyatua tofali zangu na sasa niko kwangu,ujenzi ni nafuu kwa hizo tofali
Habari,
Samahani kwa usumbufu ila naomba msaada wa kujua sehemu wanapouza mashine za kutengeneza interlocking bricks,nlikua naomba msaada wak ujua wanauza shillingi ngapi hizo mashine za manual na automatic mana niko interested nazo.
Nashukuru sana kwa msaada wenu
Jashmoe
Mrejesho kuhusu uoatikanaji wa hizi mashine bado tunasubiri kwa aliyepataHabari... Hivi ulifanikiwa kupata machine ya kufyatulia tofali? Nipo interested kununua machine husika...tafadhali naomba uzoefu
Machine nzuri wanazo hawa wabrazil http://verdeequipamentos.com.br/en/ au watafute Sahara nao ni wabrazili unaweka order after 45 days unatumiwa machine yako kwa njia ya airflightMrejesho kuhusu uoatikanaji wa hizi mashine bado tunasubiri kwa aliyepata
Mkuu umewahi Kuagiza Mashine kwa Hawa Jamaa? Maana nataka niagize, na nimewasiliana nao baada ya Kuona huu Muongozo wako. Sasa nataka nipate Muongozo kidogo nisije nikaenda Kichwa Kichwa nikala za Uso.Machine nzuri wanazo hawa wabrazil http://verdeequipamentos.com.br/en/
No, nilichukua China yenye size hii 250mm x 125mm x 62.5mm. Niliweka ndani tu sikuitumiaMkuu umewahi Kuagiza Mashine kwa Hawa Jamaa? Maana nataka niagize, na nimewasiliana nao baada ya Kuona huu Muongozo wako. Sasa nataka nipate Muongozo kidogo nisije nikaenda Kichwa Kichwa nikala za Uso.
Kwanini hukutumia sasa, Na umeagiza kutoka mbali huko, Au haikua bora?No, nilichukua China yenye size hii 250mm x 125mm x 62.5mm. Niliweka ndani tu sikuitumia
Iko vizuri kabisaa material ni chuma sio aluminium, nzito kabisa. Sasa hivi niko busy na mambo mengine ila nikitulia nitaitumiaKwanini hukutumia sasa, Na umeagiza kutoka mbali huko, Au haikua bora?
Nina mpango Wa Kuagiza hiyo mashine ndio maana Natafuta muongozo. Kwa kuanzia nataka nikawaone Sido nimeambiwa wanatengeneza pia.
Ila Hiyo yako kama Huitumii na iko vyema tunaweza tukayajenga.
Yaani Kuhusu Materials, tayari nimefanya Utafiti wa Kutosha tuu, hapo mimi kilichosalia Ni Hiyo Mashine.Iko vizuri kabisaa material ni chuma sio aluminium, nzito kabisa. Sasa hivi niko busy na mambo mengine ila nikitulia nitaitumia
Cha pili kabla hujanunua fanya tafiti wapi utapata material yakutengenezea tofali hizo