F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 #1 hivi ukishaama chuo kimoja kwenda kingine, mkopo wako utaamishwa baada ya siku ngapi?? Wataalamu nisaidieni
hivi ukishaama chuo kimoja kwenda kingine, mkopo wako utaamishwa baada ya siku ngapi?? Wataalamu nisaidieni
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #2 Inategemeana wengne miez m3 wengne hadi mwaka
TESRA JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 389 Reaction score 378 Nov 19, 2018 #3 inachukua mda kidogo inategemeana na speed yako pamoja na watavyokuwa waki respond kufanya transfer ya pesa yako
inachukua mda kidogo inategemeana na speed yako pamoja na watavyokuwa waki respond kufanya transfer ya pesa yako
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #4 Callisto said: inachukua mda kidogo inategemeana na speed yako pamoja na watavyokuwa waki respond kufanya transfer ya pesa yako Click to expand... km miez mngap mkuu
Callisto said: inachukua mda kidogo inategemeana na speed yako pamoja na watavyokuwa waki respond kufanya transfer ya pesa yako Click to expand... km miez mngap mkuu
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #5 kricho said: Inategemeana wengne miez m3 wengne hadi mwaka Click to expand... inategemeana na nn
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #7 kricho said: Ufatiliaji wako na chuo Click to expand... ko natakiw kufatilia kw loan officer wa chuo nlchohamia au vp
kricho said: Ufatiliaji wako na chuo Click to expand... ko natakiw kufatilia kw loan officer wa chuo nlchohamia au vp
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #8 france tz said: ko natakiw kufatilia kw loan officer wa chuo nlchohamia au vp Click to expand... Yeah km uko hapa dar Nenda na Heslb kawapigie kelele ukiona loan officer anazngua
france tz said: ko natakiw kufatilia kw loan officer wa chuo nlchohamia au vp Click to expand... Yeah km uko hapa dar Nenda na Heslb kawapigie kelele ukiona loan officer anazngua
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #9 kricho said: Yeah km uko hapa dar Nenda na Heslb kawapigie kelele ukiona loan officer anazngua Click to expand... aaanh xa nko arusha af kuna branch yao naijua....
kricho said: Yeah km uko hapa dar Nenda na Heslb kawapigie kelele ukiona loan officer anazngua Click to expand... aaanh xa nko arusha af kuna branch yao naijua....
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #10 france tz said: aaanh xa nko arusha af kuna branch yao naijua.... Click to expand... Pambana na loans officer tu coz ukizembea utamaliza semester au mwaka hujapata pesa ila zikija aaaaaaah mpunga wote
france tz said: aaanh xa nko arusha af kuna branch yao naijua.... Click to expand... Pambana na loans officer tu coz ukizembea utamaliza semester au mwaka hujapata pesa ila zikija aaaaaaah mpunga wote
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #11 kricho said: Pambana na loans officer tu coz ukizembea utamaliza semester au mwaka hujapata pesa ila zikija aaaaaaah mpunga wote Click to expand... Iv boom la kwanz nspopewa alafu nikaja kupewa baada ya miezi kazaa..... nitapewa na lilies la kwanza au
kricho said: Pambana na loans officer tu coz ukizembea utamaliza semester au mwaka hujapata pesa ila zikija aaaaaaah mpunga wote Click to expand... Iv boom la kwanz nspopewa alafu nikaja kupewa baada ya miezi kazaa..... nitapewa na lilies la kwanza au
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #12 france tz said: Iv boom la kwanz nspopewa alafu nikaja kupewa baada ya miezi kazaa..... nitapewa na lilies la kwanza au Click to expand... Yeah unapewa pesa zako
france tz said: Iv boom la kwanz nspopewa alafu nikaja kupewa baada ya miezi kazaa..... nitapewa na lilies la kwanza au Click to expand... Yeah unapewa pesa zako
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #13 kricho said: Yeah unapewa pesa zako Click to expand... Asante mkuu.... ko hapa kmb nikikazan nawez pewa hat ndan ya mwez 1
kricho said: Yeah unapewa pesa zako Click to expand... Asante mkuu.... ko hapa kmb nikikazan nawez pewa hat ndan ya mwez 1
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #14 france tz said: Asante mkuu.... ko hapa kmb nikikazan nawez pewa hat ndan ya mwez 1 Click to expand... Ufatiliaji ukiwepo ni mwez wa 1 pale wenzako wanapopata boom la pili
france tz said: Asante mkuu.... ko hapa kmb nikikazan nawez pewa hat ndan ya mwez 1 Click to expand... Ufatiliaji ukiwepo ni mwez wa 1 pale wenzako wanapopata boom la pili
F france tz Member Joined Jul 19, 2018 Posts 27 Reaction score 2 Nov 19, 2018 Thread starter #15 kricho said: Ufatiliaji ukiwepo ni mwez wa 1 pale wenzako wanapopata boom la pili Click to expand... hv boom n kla baada ya miez miwl..... xo zkpta ndo na mm nitapewa boom la kwnz na la pil
kricho said: Ufatiliaji ukiwepo ni mwez wa 1 pale wenzako wanapopata boom la pili Click to expand... hv boom n kla baada ya miez miwl..... xo zkpta ndo na mm nitapewa boom la kwnz na la pil
kricho Member Joined Oct 6, 2016 Posts 78 Reaction score 54 Nov 19, 2018 #16 france tz said: hv boom n kla baada ya miez miwl..... xo zkpta ndo na mm nitapewa boom la kwnz na la pil Click to expand... Ndo ivo mkui
france tz said: hv boom n kla baada ya miez miwl..... xo zkpta ndo na mm nitapewa boom la kwnz na la pil Click to expand... Ndo ivo mkui