Mwl kaingia class zipu ya suruali ikiwa haijafungwa. Wanafunzi wakaanza kumcheka kimyakimya huku wakimpiga majungu yeye asijijue. Intelligent student anajitokeza na kumwambia "mwl kuna mwl mwenzako anagonga mlango, naomba uende ukamsikilize na utakapokuwa unarudi darasani funga dirisha la suruali wanafunzi wameliacha wazi"!!