KEMPANJU BOY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 508
- 1,255
Inabidi usiwe na majibu kichwani halafu kuwa tayari kujifunza utaelewa vizuri...maswali yako ni mepesi Sana.Niende moja kwa moja kwenye mada! Leo mchana kwenye pita pita zangu kuna kijiwe kimoja nimekuta mjadala kwa kiasi fulani nilivutiwa ikabidi nisogee kuongeza maarifa. Mjadala ulikuwa baina ya mtu mmoja aliyekuwa akihubiri injili lakini baadaye akaonekana anatangaza dhehebu lake na Wale wana kijiwe. Yule mtu aliulizwa maswali mpaka akakimbia, ningependa tushiriki angalau mwenye ufahamu kidogo tuelimishane. Maswali ni kama ifuatavyo:
i) Kati ya Ukristo na biblia ni kipi kimetangulia?( Aya maswali yanayofuata yalikuja baada ya jamaa kusema ukristo ulitangulia).
ii) Kama biblia iliandikwa Karine ya 3 kama baadhi ya historia zinavyoonesha Ukristo umeanzishwa kwa Misingi ipi? Mfano dini ya kiyahudi ilianzishwa kwa misingi ya tourati ya Musa.
iii) Kama Ukristo umeanzishwa kwa kufuata Injili ( mafundisho ya Yesu) inakuwaje kuna vyeo makanisani kama Ushemasi, Uaskofu na Uchungaji ambavyo kimsingi havipo kwenye injili bali vimetajwa na Nyaraka za Paulo na siyo wainjili?(Luka, Marko, Mathayo na Yohane).
iv) Je kuna aja ya Madhehebu ya Kikristo yaliyoanzishwa kabla ya kui compile biblia, mafundisho yao yote kuwa kwenye biblia? mfano: RC na othodox au ili linayahusu madhehebu yale yalochipukia baada ya mwaka 1500 BC?.
Karibu kwa Michango yenu wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia mwenye majibu ya haya maswali hatakiwi kutoa nadharia ya kufikirika ili kui defend diniInabidi usiwe na majibu kichwani halafu kuwa tayari kujifunza utaelewa vizuri...maswali yako ni mepesi Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sindio uonyeshe huo urahisi wa hayo maswali kwakujibu hoja mkuu " .... ukiishia kusema hivyo tu inakuwa haujaongea kwa fact kama mtoa mada bali umefanya talk to talkInabidi usiwe na majibu kichwani halafu kuwa tayari kujifunza utaelewa vizuri...maswali yako ni mepesi Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha anawasingizia wenzie hataki. Aonekane kuwa ni yeye ndiye aliyeuliza ili aweze kuepuka kuitwa mpinga kristoKijiweni hamna. Wa kuuliza maswali smart ivyo mkuu acha kutudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu Alianza lini ndio nini?Ukristo ni ufuaswi wa Kristo. Kristo ukisoma Yohana anaitwa Neno. Neno alikuwa kwa Mungu na vyote vilifanyika kwa huyo. Naye Neno alikuwa ni Mungu. Nikuulize wewe na wakijiweni ulio wawakilisha Mungu alianza lini? Pili wafuasi wa Mungu au wanao mwamini Mungu walianza lini? Ukijibu hili la pili utakuwa umejibu Ukristu ulianza lini?
Ids za kibubuni, chomoa mojawapo hapo ipiganishe.
Mungu Alianza lini ndio nini?
Au ulikusudia kusema kua mungu alizuka vipi au ni lini chanzo cha huyo mungu kilipoanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau ya kuwa wahitimu wengi siku hizi wanashinda vijiweni kwa harakati mbalimbali ikiwemo kuchambua mikeka n.k?Kijiweni hamna. Wa kuuliza maswali smart ivyo mkuu acha kutudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app