Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 394
- 523
NAOMBA kujuzwa kuna intake ngapi au kuna awamu ngapi za kuomba nafasi ya kusoma chuo huria
Mimi binafsi niliomba kujiunga na chuo hicho jina langu halijatoka na Nna GPA YA 3.0 ya Diploma ya elimu sekondari
naomba kujuzwa kuna awamu nyingine ili niombe tena najua humu wapo viongozi,wadau na waliosoma na wanaosoma naombeni msaaada nahitaji kusoma ila usawa huu kwenda chuo campus ni ngumu
ahsanteni