Installation za TV Channel

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Kwa wale wenye Guest
house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji
kusambaziwa channel tuwasiliane kwa
PM ni channel zozote uzitakazo wewe
ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu
sana. Aksanteni sana pia nakaribisha
maswali kwa ufafanuzi zaidi.
 
Mambo vp?Kama una chaneli za kenya na uganda ni PM tuwasiliane!
 
channeli za kenya buure bora uwe na ungo wa futi sita na decons ya dvb-s2
 
kama unatumia Dish kukitokea tatizo na kuandika signal is weak ni nini unafanya ni kubadilisha mweleke wa Dish au unafanya nini?
 
channeli za kenya buure bora uwe na ungo wa futi sita na decons ya dvb-s2

Mbona mimi ninazo hizo lakini zimepote mkuu? sioni KBC kabisana au wamebalisha numba za signal kama unazo nitupie
 
Kwa wale wenye Guest
house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji
kusambaziwa channel tuwasiliane kwa
PM ni channel zozote uzitakazo wewe
ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu
sana. Aksanteni sana pia nakaribisha
maswali kwa ufafanuzi zaidi.

Kama una channel ya mapouka niPM tufsnye biashara
 
kama unatumia Dish kukitokea tatizo na kuandika signal is weak ni nini unafanya ni kubadilisha mweleke wa Dish au unafanya nini?

Kaka hapo kuna mambo mengi sana yaweza kuwa hata waya wa dish haujachomekwa vizuri. Uckimbilie kuhamisha dish kwa kuwa huwa halihami kiurahisi kama limewekwa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…