The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
hivi mtu kuwa verified ni mpka uwe maarufu Mimi nimewatumia hadi I'd ila hawajaniverify hadi leo
Maybe world wide doesn't include AfricaHuku kwetu buza bado likes zinaonekana
Zipo wazi kapitia blog (website) yao, wameainisha yote.Hapana mkuu, wana sheria zao japo hawaziwekagi wazi.
Na Verification za Sub-Sahara Africa zinatokea Kenya na South Africa.Hapana mkuu, wana sheria zao japo hawaziwekagi wazi.
Mfano kama mimi mkulima wa bilinganya hapa Buza nifanyeje ili niwe verified?Na Verification za Sub-Sahara Africa zinatokea Kenya na South Africa.
Kuanzia Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp na YouTube Verification na Monetization.
Hakikisha unakuza thamani bidhaa zako hadi kupelekea kutafutwa sana kupitia mitandao mbalimbali. (Maana Instagram ina shirikiana na kampuni nyingine kutambua hilo)Mfano kama mimi mkulima wa bilinganya hapa Buza nifanyeje ili niwe verified?
Nimekusoma mkuuHakikisha unakuza thamani bidhaa zako hadi kupelekea kutafutwa sana kupitia mitandao mbalimbali. (Maana Instagram ina shirikiana na kampuni nyingine kutambua hilo)
Unaweza kuuza na mteja kununua bidhaa zako husika kupitia Instagram Shop au Facebook Shop hii itachangia kutambulisha bidhaa zako//au kumtambua mwanzilishi wake.
Unaweza kutembelea HQs au sHQs ukiwa na vitambulisho husika na viambatanisho kukiri kuwa ni mmiliki halal wa channel/account unayohitaji kuwa verified. (Na hii ndio njia nyepesi zaidi maana haitumi. Impressions, Insights, Likes, views na Followers.) Nyongeza hapa ni pale unaona mtu yupo na 907 au 1471 Followers na yupo verified.
Je! Umewahi kushangazwa Wasafi Company, Brisbane Roars, Arsenal Football Club au Gormahia wapo verified na timu za watu wote nyuma yako?
Ukihitaji usaidizi tunaweza wasiliana.Nimekusoma mkuu
Una influence gani kwny jamii mzee baba.Hivi mtu kuwa verified ni mpaka uwe maarufu? Mimi nimewatumia hadi ID ila hawajani-verify hadi leo.