Habarini.....
Kunawatu huwa wanashindwa kushusha media instagram
Kama Photos na Videos..
Wengine wanachukua screenshot badala ya kupata Media halisi
Kuna watu wengine wanapata shida mpaka watumie Instagetter na Apps nyngne kibao..ni easy sana.
Osama Ghareeb kaimodify Instagram yenye uwezo wa kudownload media
Ingia hapa kudwnload hiyo app
OGInstagram v6.15.0 for Android - Download
Baadaye unistall official instagram afu install hiyo
Screenshot zote zipo kwa hiyo link.
Then ni kwa Android users tu.
Thenk yew.Enjoy it