Instagram ni nini?

maswali kama haya yanajaza forum while you can google.

Nadhani hakuna ubaya mtu kuuliza kitu ambacho hakijui anawasaidia na wengine.
 
Nadhani hakuna ubaya mtu kuuliza kitu ambacho hakijui anawasaidia na wengine.

nimekusoma mkuu, mnisamehe wooote kama nimewakwaza kwa jibu langu
 

AshaDii najua umezaliwa na busara nyingi umenielewa na asante kuwajibu, yaani umeeleza sawasawa, kiukweli, hata lugha ya kitehama ni ngumu wakuu, tusiwe wepesi kujibu uchafu
 
mimi sijui na wala sitaki kujua,kuna whats up na yenyewe sijui ni nini,sitaki kujua maana nasikia watu wanakuwa addicted
 


upo sahihi kabisa mkuu.
 
diunal kila nikijaribu kukujibu kwa nyodo nafuta naandika upya, uwe na weekend njema mtu wangu wa nguvu, usiwe unatokea wakati wa kuponda comment za watu tu, uwe unasaidia kujibu hata kuchangia mijadala ili jukwaa lipendeze au sio mkuu?

Toa rejea ya madai yako....otherwise hoja yako kapuni
 
Last edited by a moderator:
Mi natumia galaxy young siipati app yake kweny google play au haina app?
 
 

watu wenye mitazamo kama yako ni wachache sana mkuu, watanzania tuache kudharauliana, mimi mwenyewe nimejifunza kupita hii thread, sasa wewe unaejiona unajua kila kitu,hao waloweka mjibu google nao wangekuwa na majibu kama yako msaada ungeupata wapi.
 
 
humu ndani utoto mwingi sana...mnaacha kujibu hoja mnabaki kutukanana, kila mtu anaonyesha ujuaji wake. kweli tutafika!
 
 
Tungechukua ili swali la jamaa kama changamoto ya kuongeza resources kwenye Wikipedia yetu ya kiswahili.Maana hata jibu langu niliotoa nimeona la kijinga.
Wikipedia ya kiswahili ikiwa ina vyote naona maswali kama haya yangepungua
 
Mi natumia galaxy young siipati app yake kweny google play au haina app?

acha kupotosha watu wewe, ipo bana, Galaxy Y najua ina run Android 2.3.6 kwanin igome, au Memor Card yako umeweka. ya 15Kb?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…