Instagram mbili katika sim moja.

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Fahamu jinsi ya kua na instagram mbili katika sim moja. Ni rahisi sana na haiitaji mbwembwe. Fungua hapa kuona
 
Bado Upo nyuma, sasahivi hauhitaji kudownload application nyingine tofauti ili uwe na instagram mbili kwenye simu moja,
IKO HIVI:
Login kama kawaida kwenye instagram yako, akikisha unakuwa kwenye home page.
Kisha bofya sehemu ya option, vile vibox vitatu pale juu upande wa kulia.
Kisha angalia vizuri utaona sehemu imeandikwa ''Add Account'' bofya iyo sehemu, Ukisha ibofya itakuletea ukurasa wa kuLogin account yako nyingine, jaza username na password kisha bofya login, kufikia hapo utakuwa umemaliza.
Upande wa Juu kushoto ndiyo kuna option ya kukuwezesha kushift kutoka account moja kwenda Nyingine, unaweza kuwa na account zaidi ya mbili.
 
Account Tatu za Instagram Kwenge Simu moja
 
Attachments

  • 1456720227656.jpg
    1456720227656.jpg
    30.3 KB · Views: 39
Mwanangu punguza uzungu au ndiyo maisha ya kota,wengine humu masela tu wa mwananyamara kwa mzee kishungi.
Mkuu lengo langu ni kufanya izi vitu to the international level nadhan ushanielewa mpaka hapo
 
Bado Upo nyuma, sasahivi hauhitaji kudownload application nyingine tofauti ili uwe na instagram mbili kwenye simu moja,
IKO HIVI:
Login kama kawaida kwenye instagram yako, akikisha unakuwa kwenye home page.
Kisha bofya sehemu ya option, vile vibox vitatu pale juu upande wa kulia.
Kisha angalia vizuri utaona sehemu imeandikwa ''Add Account'' bofya iyo sehemu, Ukisha ibofya itakuletea ukurasa wa kuLogin account yako nyingine, jaza username na password kisha bofya login, kufikia hapo utakuwa umemaliza.
Upande wa Juu kushoto ndiyo kuna option ya kukuwezesha kushift kutoka account moja kwenda Nyingine, unaweza kuwa na account zaidi ya mbili.
Ndo maana nimeandika running simultaneously yani this method itakusaidia kupata notification at the same time rather than mpaka u switch account. .
Kabla hujashusha gazeti lako ungesoma kwanza.
 
Kichwa Cha Habari Kinasema "Instagram mbili kwenye simu moja'' Weka Title Vizuri na somo la utangulizi ndiyo unikosoe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom