Wakuu kila nikiingia kwenye mtandao wa Instagram, kifurushi cha internet (MB) kinaisha haraka tofauti na nikiingia kwenye mitandao mingine kama vile Facebook, JF, Watsapp n.k.
Mkuu kama una bundle ndogo sikushauri uende sana instagram maana kama ukienda kuchunguza kwenye cache (ndani ya file ya instagram) picha moja ya instagram ni 512kb na video zinarange kwenye 1mb mpaka 3mb.