Instagram followers

am_fahmy

Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
18
Reaction score
9
Jamani ehhh nishachoka na hawa followers wangu ni kidogo sana naombeni msaada wenu wakuu nataka nipate angalau followers 1000 tu watantosha mwenye maujanja naomba anielezee jinsi ya kuwapa
 
Jamani ehhh nishachoka na hawa followers wangu ni kidogo sana naombeni msaada wenu wakuu nataka nipate angalau followers 1000 tu watantosha mwenye maujanja naomba anielezee jinsi ya kuwapa
kama wewe ni "ke" basi nakushauri pitia hata page za kina gigi money, utaelewa tu
 
Follow watu ambao watakufollow back ambao ktk profile yake yeye amefollow watu wengi kuliko waliomfollow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…