so what .tupo bussy na siasa ya domo muachie midomo
so what .tupo bussy na siasa ya domo muachie midomo
Nimeona hadi raha
Si unajua tena nikiingia insta bila kwenda kuona kunani kwa page yake na mkewe Zari ni kama sijaingia.
Hongera Diamond.
Kweli uko bize na siasa hadi umesahau upo jukwaa gani.so what .tupo bussy na siasa ya domo muachie midomo
We ndio sklepa kweli, habari za siasa unazitafuta celebrities forum???
Acha uongo bwana hilo zali tu la mentali baada ya kumtukana yule muhindi kule ila sio kwamba ni bora kuliko hao majembe hapo na wizkd hana uo ujingapwilo kwanini unapenda kuleta habari za mwanamuziki wako anaejaribu kuchipukia international yani ilimradi tuuu tunavyomjadili King of afropop basi na ye atembelee nyota... acha hizoo
Afu ujuwe suala la wanamuziki kama Psquare, Wizkid, Aka, 2face kutokuwa na verified instagram accounts ni kutokutambulika na Instagram tu!!! Na unaposema mwanamuziki mkubwa sio kama kila sehemu unakuwepo tunaangalia average, na kutambulika social network inayopendwa zaidi duniani kwa sasa ni credibility ya kutosha kwa msanii...
Na hilo linatokana na kutokutolewa kama njugu kwa kila mtu
Wapi pameandikwa hajafanya au kiswanglish kimekupitia kushoto soma uelewe ww
Sasa kwani huyo si shabiki tatizo nn hapo ulitaka amjibu tayari au ??We kumbe ujui English km yule mgombea wa uraisi hauoni hapo shabiki anaomba collabo ya wiz kid na Ali kiba hadi kiba ka retweeet ckia nenda shule kwanza ukishapata elimu ndo uje kubishana na mie ujinga unakusumbua