cute beiby
Senior Member
- Feb 12, 2012
- 129
- 44
..............In each case, the weight of the glass doesn't change, but the longer I hold it, the heavier it becomes." She continued, "The stresses and worries in life are like that glass of water. Think about them for a while and nothing happens. ...
Well said..nimeipenda hiyo logic...but sometimes TIME heals!
Kwenye wekundu ni sawa kabisa kuwa the more you keep thinking about something the harder it becomes...na kuacha au kufikiria jambo wakti mwingine sio jambo la kuamua tu peke yako manake hapa inategemea na MGUSO wa jambo husika kwenye maisha yako na DAMAGE iliyofanyika..nadhani njia za NAMNA ya kusahau jambo ni muhimu zaidi...na ndio point inayotakiwa ifafanuliwe zaidi hasa hapo kwenye bluu...Eti dada AshaDii na mwalimu wangu gfsonwin unafanyaje ili jambo usilifikirie sana?..Je ni uamuzi mrahisi tu like kusema ' i wont think about it again'?...
A psychologist walked around a room while teaching stress management to an audience. As she raised a glass of water, everyone expected they'd be asked the "half empty or half full" question. Instead, with a smile on her face, she inquired: "How heavy is this glass of water?"
Answers called out ranged from 8 oz. to 20 oz.
She replied, "The absolute weight doesn't matter. It depends on how long I hold it. If I hold it for a minute, it's not a problem. If I hold it for an hour, I'll have an ache in my arm. If I hold it for a day, my arm will feel numb and paralyzed.
In each case, the weight of the glass doesn't change, but the longer I hold it, the heavier it becomes." She continued, "The stresses and worries in life are like that glass of water. Think about them for a while and nothing happens.
Think about them a bit longer and they begin to hurt. And if you think about them all day long, you will feel paralyzed – incapable of doing anything."
It's important to remember to let go of your stresses. As early in the evening as you can, put all your burdens down. Don't carry them through the evening and into the night.
Remember to put the glass down
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
..Kosa ambalo wengi hufanya ni kulazimisha ukweli kuwa uongo; kwa madai kuwa mzigo uliotuwa ni wa kuusahau na kuupotezea sababu hauko worth it...... ni kuwa kuna siku kilistahili kubebwa na wewe, kuna siku kilikushawishi (pengine bila hata kushawishiwa) ukakibeba na ulifurahia kabisa... Haijalishi kuwa ulifurahia briefly, kwa mda mrefu or forever.........
Ok..Utanisamehe kama ntakuwa sijakuelewa au nimekuelewa visivyo...hebu ngoja niseme yafuatayo..
Kwa mujibu wako ni kuwa STRESS au MAWAZO yanakuja baada ya kuwa ume-experience jambo flani zuri..ryte?
Mantiki yako ni kuwa hakuna jambo ambalo linakuja kuwa MZIGO from nowhere, ina maana lina chanzo chake..yanaweza kuwa MAJONZI yaliyotokana na kuachwa na mpenzi ambaye in turn alikupa good times at some points of time..au baada ya kupoteza kitu cha thamani ambacho kuwa nacho haikuwa regret..ryte?...Hapa nakubaliana na wewe nusu na nusu nakuwa bado doubt..Kwa sababu kuna nyakati STRESS zinakuja tu kwako kama sehemu ya mtu mwingine kutowajibika kwa nafasi yake (fikiria umeambukizwa ugonjwa kwa sababu ya uzembe wa mtu mwingine)...Na kama ndo hivi unawezaje kujipa nafasi ya kuheal as soon as possible as per this thread kwa sababu MZIGO ulionao hukuwahi kuwa hata sehemu ya furaha yake?...Kama utakuwa umenisoma vizuri niambie...
.....Tunapokuja kwenye kuheal... Like any disease ni lazima dawa, muda na care iwe applied. Na kupona kunategemeana na depth ya kidonda, willingness to move on and let go ya hilo suala, na acceptance kuwa ni for the best. Siamini katika kusema kuwa mtu ana uwezo hapo hapo anapatwa na hapo hapo anajizima na kusema nimepona.... Wengi wa hivyo huja u lapse at a later date.
SnowBall, kuna watu huwa na hobby ya kujistress. Choose your battles. Na badilisha angle yako ya kuona mambo. Utakuwa stress free.
...-It's important to remember to let go of your stresses. As early in the evening as you can, put all your burdens down. Don't carry them through the evening and into the night.
Remember to put the glass down
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
...-It's important to remember to let go of your stresses. As early in the evening as you can, put all your burdens down. Don't carry them through the evening and into the night.
Remember to put the glass down
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums