Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,173
Habari wadau wa JF,
Huwa navutiwa sana na style aliyokuwa anatumia Inspector zamani ya kurudia neno moja kwa kutumia majina tofauti lakini yana maanisha kitu hiko hiko.
Baadhi ya nyimbo alizotumia style hiyo ni hizi hapa chini unaweza kuongezea na wewe utakazokumbuka:-
Heka Heka Za Ticha:-Hapo anaelezea fimbo kwa maneno tofauti
"Mara vikaanza viboko,bakora,stick,mijeredi,michalazo,Denti akikaza ticha ndio anaweka mkazo Weee"
Mtoto wa Geti Kai:-Hapo anaelezea Nyama
"Kwenye friji,friza vimimina vya kumwagili mpaka kusaza,makila kitu kwao stock,beef,cow kitimoto pork"
Wanaokwenda Jela:- Hapa anazungumzia Jela
"Chechela segedansi nondo gereza inside ndichi lupango kunapotekeza"