.....d'u belive hiyo makitu hapo juu?....
Unaipa/ unayapa nafasi gani katika maamuzi ya matendo yako?
Hebu tubadilishane mawazo aisee...
Those things do exist and I like to call them 'natural resources' because most of us if not all of us experience them at varying points in our lives. They are natural human emotions.
Yes, they are not exact science but they form a big part of the human experience and sometimes they can be very accurate.
Always it is a true experience,follow your sences it works!
Not all the time...Always it is a true experience,follow your sences it works!
Moskwito, kwanza karibu nyumbani (subiria pm ya mzinga wa vi-perfume vya kutoka abroad, mbona umekuja kimya kimya aisee hehehe)
Hii kitu nilisoma kwenye mtandao siku moja, kuwa wanawake wanayo 6th sense. But kumekuwa na juhudi za ku-prove scientifically lakini bado hazijazaa matunda. Kiimani tunaita nafsi. Kama ningetii hii 6th sense kwa uaminifu ningekuwa na only a quarter of problems to solve.
Tell me about this: umeshawahi kumuwaza mtu, kuwa ngoja nimpigie ama nimtafute kuhusu issue flani, na ukajikuta anaanza kukutafuta yeye na unaishia kufeel guilty na kutanguliza apologies? 'Jana nimekuwaza sana nikasema nitakutafuta but I didn't..' Happens to me all the time. Wakati mwingine unajitii, anapokea na 'just the person I need to hear from', talking of the devil!
Not everyone experiences a sixth sense but everyone has a sixth sense. It is built in our creative power as beings of energy manifesting human. You may have this experience as long as you wish. You may end this experience whenever you choose.
dah, hii kitu ni nzuri lakini wakati mwingine inatisha.
Kuna kitu ambacho wakati mwingine unakipata hadi unaogopa, kuna wakati unakuwa unahisi bad energy around you, and something goes wrong somewhere, hii siipendi na huomba isinipate.
Ila kuna ile unaona kitu au mtu hapo hapo hujisikii kuwa karibu nacho, hii husaidia sana. Kwa experience yangu, nafsi ikimkataa mtu nakaa naye mbali mara zote huwa napata balaa.
Wakati mwingine hata sina evidence ya ubaya wa mtu, sijui nini hunipata. Kuna mtu tumefahamiana kama miaka 3 mie kwake naenda any time lakini kwangu hajakanyaga, namchenga makusudi. Kuna kitu sikiami kwake hata sijui nini.
Ila kuna mtu mwingine nakutana naye na hapo hapo nahisi niko sakama kwake.
Its so complicated lakini.
binadamu tuna njia za sense karibu mia moja lakini binadamu wa kawaida huweza kutumia hizo tano tu za kuona,kusikia,kunusa,kuonja na kugusa lakini kiukweli unaweza kuongeza wigo wa sense
Listening to your subconsius
Meditation
Deep breathing...hii hukongeza oksijen ambayo ni chakula kikuu cha ubongo na hivyo kufungua mishipa zaidi ya fahamu
Namna ya kulala..better north
to south ili usifanye ubongo ukakinzana... na nguvu ya uvutano ya dunia
MBU honesstly nilitaka nianzishe a thread about this....
hii kitu ipo na real....
mimi from my experience nilipodharau hii instincts ndo nilapatwa na matatizo makubwa
mengine bado naya solve hayajaisha.......
wengine wanaita 'Guardian angel'.....
kuna watu wanaahirisha safari au anachelewa ndege/basi
halafu inatokea ajali.......mwingine anakwambia siku yaleo siendi kazini
wala kufanya lolote......analetewa habari ya msiba......the list goes on....
mimi watu wote in my life ambao niliwachukia toka siku ya kwanza
hata kama nilijisikia vibaya kwa kumchukia mtu bila sababu
later on nagundua ' i was right'.......hawakuwa watu wazuri.....
....nice, upo deep kumbe na haya mambo ya yoga ee...
yeah, subconcious mind ni muhimu kuisikiza ila najiuliza hii
Inakuwa influenced zaidi na personal experiences ama nini?
The Boss, kumradhi sikukutaja awali...nimwagie maujuzi kaka...