Inside the Rwanda-Uganda conflict

Tukiweka UTU pembeni lazima tupige pesa mfano time wao wanapigana sisi tunawaomba LATO milk waamishie viwanda huku au tunaweza kuiba wanyama wao

Ili watu wapigane lazima wale so tunaweza kuwauzia misosi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Huu ni muda mzuri wa kipiga njozi baada ya mlo mzito
 
Huu ni muda mzuri wa kipiga njozi baada ya mlo mzito
Sure lkn tukitaka mgogoro huu utuletee tabu utaleta na tukitaka ulete neema utaleta pia maana kupanga ni kuchagua

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hivi wewe uko Rwanda unataka uwe na mkono dhidi ya Mahasimu wako wa Congo, Nairobi, Tz, Uganda, SA na Burundi inawezekana kweli ?

Alishafanya mauwaji ya hao Mahasimu walioko Nairobi, SA na Burundi. JK alimpa ushauri mzuri sana lakini dunia nzima ilishangaa jinsi alivyo overreact. Kuna uwezekano mkubwa ile overreaction ni kuwa kulikuwa na Mahasimu anawatamani hapa Tz, inawezekana ndio hao ma investors wakubwa walioko Uganda na at that time walikuwa may be walikuwa wana extend muscles zao to Dsm.
Na kuna uwezekano mkubwa mtu ambaye alikuwa aggressive kama JK aliwaita waje wafanye biashara Tz akiwahakikishia ulinzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure lkn tukitaka mgogoro huu utuletee tabu utaleta na tukitaka ulete neema utaleta pia maana kupanga ni kuchagua

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hakuna neema kwenye situation za namna hizi kwani ni lazima kutakuwepo na collateral damage itakayo athiri Tanzania.
 
Kikwete alishindwa hata kwenda ikulu hapo Magogoni kumwambia Magu kaa na wapinzani mjadiliane mdumishe demokrasia badala yake kwny mkutano wa kimataifa huko S/Africa akaenda kumnanga,bila kupepesa macho naye Mzee baba akamjibu 'anawashwa washwa' ikabidi JK ale kona.

So ni kawaida ya JK kupenda kutoa ushauri mbele za jumuiya za kimataifa(kuchukua credits) wkt angeweza akamfuata mhusika akamshauri.,ndio maana PK nae aliona jamaa anazingua tu na ushauri wake.

By the way hivi JK si ndiye aliyesimamia kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar sio 2015?Ndio mwanademokrasia huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushindwa JK kumshauri JPM au kujecha uchaguzi wa Zanzibar haufanyi kuwa haramu Kumshauri PAKA
Kumshauri kwa siri au kwa wazi vilevile hakupunguzi umuhimu wa PAKA kuongea na wenziye na kuyamaliza mafundo yao
JK alijua kabisa uhasimu wa PAKA na nduguze una multiplier effects na ndiyo tinayoyaona leo hapa na ndio maana JK alimwambia hadharani inawezekana kwenye ma vikao yao ya ndani walishaambiana sana huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokwambia ni hivi msimamo wa PK ni hataongea na hao waasi kamwe.

So ushauri wa PK kuongea na hao waasi hautawezekana wao kama wanataka waende Rwanda wamchomoe kibabe hapo madarakani then mchezo umeisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
long explanation but not seeking even a truce its just politician language seeking to convince rather than uprooting the real problem and solving it for good.
 
Agwe ukwaju usina mahala, naule ukulonga vibi?
 
.Pia vita ya rwanda na uganda ndani ya congo wakati ule iliacha jeraha kubwa kwa uhusiano wa nchi hizo mbili,inasemekana waganda wengi sana walikufa kwenye ile vita,m7 doesnt wanna let it go mpaka leo.


Sentence hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Le President Kagame Forever,King of Africa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyosoma michango mbalimbali humu naona kama PK na M7. wanamatatizo yanayo fanana na kila mtu anajaribu kutumia maadui wa mwenzie kujikinga na nakuhisi anatatua tatizo lakini kumbe ndo wanaongeza tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoweza kufanyika ni Kenyatta kuwaita na kuwashauri what to do coz Jopoma hawezi maana ana-side na PaKa to some extent.

PaKa kaja juzi hapa, kuna kitu waliongea na Jopoma.

Baada ya hayo mazungumzo kati ya PaKa na Jopoma, JaMki naye kaenda Ikulu.....nadhani alienda kumtahadharisha Jopoma awe makini na Paka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…