Inset | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inset

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tyadcodar, Sep 29, 2011.

 1. t

  tyadcodar Senior Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nasikia kuna programe nzuri iliyoanzishwa na wizara ya elimu tz ya kubadilisha mtizamo wa ufundishaji wanafunzi badala ya mwl kuwa ndiyo kila kitu wakati somo linaendelea na sasa kitovu cha maarifa ni mwanafunzi mwenyewe mwl akiwa muwezeshaji wa mpango mzima wa mafundisho darasani.nasikia katika level ya kitaifa wizara chini ya idara ya sekondari imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana na kuwaza kuzalisha wawezeshaji kila mkoa wa tanzania.siyo hivyo tu wizara ya elimu idara ya sekondari imewahusisha wadau wote na wenye dhamana wa elimu ktk ngazi ya wilaya na mikoa yaani reo's,deos na wakuu wa shule zote tanzania.sasa inaelekea kuanzia mkoa na wilaya wanataka kuharibu mpango huu kwa kufrastrate mpango mzima au kusababisha mafunzo kuwa hafifu au kuuwa kabisa kwa kuleta siasa ktk mpango mzima.national coordinators msipoliangalia hili basi juhudi zenu sufuri,lindeni regacy yenu basi
   
Loading...