inote beyond smartphone brand new for 180000tsh

marty

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
770
Reaction score
27
970805_498105116931490_28376592_n.png 521924_601178176571615_1998159069_n.png 644235_601596763196423_1656215665_n.png 999166_600699406619492_140378569_n.png BKRp9xKCQAI6mKa.jpg
inote beyond smartphone duos
brand new in box
charger
usb cable
manual
earphones
8GB memory
cover case
1 year warranty
price 180000tsh
call 0713388226
 
Duh! Nina wasiwasi kama hii android mchina hajachakachua....
 
nimeitumia nina week ya tatu sasa, ila imezima nikichaji haingizi moto, nikiwasha haiwaki! kuna tatizo gani wadau?
 
Mchina anatoa cm nzuri tu angalieni baadhi ya cm original Kama Samsung Nokia nk. Ni mchina
 
kaka ukijua process ya utengenezaji smartphone utaelewa vizuri haya mambo.

tuchkulie mfano nokia ana kiwanda china anatengeneza simu kaagizia material yafuatayo

1. material A
2. material B
3. material C
4. material D

hayo material ni ya display, mother board na vifaa vyengine vya simu.

material A nokia akatumia asilimia 80 tu ile asilimia 20 ika expire, material B yakawa chini ya kiwango nokia akayakataa, material C yaliachwa sababu material bora yamegundulika ambayo ni mazuri zaidi, material D yata expire soon nokia akaamua ayauze kwa bei rahisi

situation hizo hapo juu zinafanya manufacture uchwara wapate material kwa bei rahisi na hivyo kutengeneza simu ambazo zipo chini ya kiwango.

simu kama tecno itel sijui celkon wao hawatengenezi bali kuna kampuni zinatengeneza wao wanabandika majina tu ntawapa na ushahidi badae kidogo.

so kama simu imetengenezwa china inabidi atleast ufatilie nan kaitengeneza viwanda vya nokia, samsung, foxcon vyote vinaaminika ni tofauti na wengine

update ushahidi wa hizi simu za kichina
hapa natoa simu kama tano hivi muangalie mwenyewe

techno phantom a1
How-to-Root-Tecno-F7-Phantom-A1-with-ERoot-PdaNet.jpg

bedove hy
sku41666.jpg

zopo zp
sku35966.jpg

star x
8491_P_1363990032427.jpg

umi s1
umi_s1_18_.jpg

sifa za simu zote 5
1.zina camera inayoonekana umbo la duara kwa nyuma na flash kwa pembeni angalia vizuri umbo la camera kwa nyuma zinafanana zote.
2. spika ipo kwa chini
3. zote zina kioo inch 5
4.zote resolution ya kioo ni 720p
5. zote zina camera 8mp
6. zote zina ram 1gb
7. zote zinatumia processor ya mediatek mt6589 quadcore
8.zote internal memory ni 4gb
9. zote jelybean 4.2
10.zote ukizigeuza kwa pembeni utaona camera ina kama katuta (camera hump)

je mnafikiri ni coincidence kutokea hizi simu zinafanana kila kitu?
why hizi simu haziuzwi ulaya na marekani?

naamini we ni mtu mzima na una akili ya kufikiria
 
Uko sawa chief

Duuuh..
Mkuu, umeniacha njia panda (sio clouds fm jumapili saa 8 mpaka 10 mchana)
Yaani bila bila. Rudi tena mkuu.
Natamani kuelewa
 
Anamaanisha hizo simu hao jamaa wamenunua kwa mtengenezaji moja wenyewe wakabandika tu majina yao bas hawana kiwanda
 
Back
Top Bottom