Inogile Mkangafu

Mkuu utasababisha watu tutokwe na udende bure.
 
Mdongofu, Mdindifu, Mkangafu................ kamwene belaaah! kanyama ka mbuzimakucha kali kwiya?
 
nyela ndauli, naomba nionje ludodo huo mtogwa! Dah kibwabwa hiyo mwanangu, lita sh 20 ndoo ya plastiki 200, hahaaa huku tukisindikizwa na mziki wa pepe kale 'komoni mpaka bujee sakai, sakai wi sakai, hapo nishahifadhi km lita tano tumboni ni kukata mauno tu hahahaa
 
Huo ni mdindifu!! unanikumbusha Vitindi vya Mzee Chozi pale Ifunda Tech.
 
Asante sana, nimegema sana huo mti, nimeumwa na nyuki ni kwa sana, unakamata na mahindi ya kuchoma, yaani unaweza kujing'ata utamu wake. Kwa nini hawajaanza kufikiria kusindika hii maneno jamani?? BRAVOOOO!!
 
Nenda Iringa, kuna mjasiliamali mmoja MNYALUKOLO anasindika siku hizi kwenye chupa kwahiyo ukifika bar unaagiza kama unavyoagiza CASTLE LAGER!!!
 
kavulanzi mwe!
nilipokuwa Tosa ukienda kuomba maji kijijini utasikia hatuna maji ya kuchemsha bee we msekondari labda tukupe kaulanzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…