Ink catriges za lexmark printer zinachakachulika

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
wadau wa technology heshima kwenu.NINA PRINTER YA LEXMARK 2600,ILIISHA WINO NIKA RE-FILL LAKINI BAADA YA KUZIPACHIKA KATIKA PRINTER HAISOMI WINO NILIO UJAZA IT KEEPS SAYING 'your ink catrige is empty please replace'SWALI NI KWAMBA NIFANYAJE ISOME WINO WA KUJAZA?
 
Na mimi ninatatizo kama lako!
Naona tumeula MKENGE! Pole mwenzangu
 
Catridges zina kuwa na Microchip ambayo kazi yake ni kurecord mwenendo wa wino, so kila level ya matumizi yako ina kusanya taarifa na kuhifadhi katika memory chip ya printer na hata computer hiyo ndo sababu so. kuepusha hilo swala ulitakiwa before huja install software ya printer yako ulitakiwa ui-connect printer yako halafu uende katika device manager uangalie printer lazima utaona imeweka alama ya hazard katika printer ikimaanisha hamna driver so unacho fanya kupitia device manager hiyo una update driver so some few files abazo ni muhimu kwa kuprint tu ndo zinazo kuwa installed zingine ambazo kazi yake kama kutrack information muhimu kuhusu catridges haziwi installed. Pia ulitakiwa pia ku disconnect powe supplies ya printer wakati wa kutoa catridges ili kuifool printer kuwa unatoa catridges coz kila unapotoa same catridges na kuirudishia mara kwa mara yenyewe ina idadi maalum ya kutoa na kurudisha baadae ina mark kuwa hiyo catridge imekwisha so hata kama ina wino itakugomea. na kitu kingine cha mwisho ulitakiwa ku disabble point to point communication btn printer and computer to prevent communication between them kwasababu mara utakapo connect pc na internet itazituma hizo information kuhusu mwenendo wako wa matumizi ya catridges kwenye mtandao wao so wao wataweza pia kutrack matumizi yako ya catridges. Mwisho kabisa ni kuwa jaribu ku google namna ya kureset hiyo chip ya kwenye catridges zako kumbuka kila model ya printer kuna namna yake so be specific na kusearch kwa jina na model ya printer yako. Hope sija kuchosha kwa maelezo yangu.
 
Don ever think about re-fill a catrigdge utaiua printer sasa hivi mkuu i know kurefill ni pesa kidogo kuliko kununua mpya lakini pindi itakapoanza kusumbua gharama yake ya kutengeneza itakuwa maradufu kuliko kununua catridge mpya
 
kwa hizi printa nafikiri gharama ya "origino" catrige ni sawa na bei ya printa mpya, so ikiharibika haina hasara sana
 
Don ever think about re-fill a catrigdge utaiua printer sasa hivi mkuu i know kurefill ni pesa kidogo kuliko kununua mpya lakini pindi itakapoanza kusumbua gharama yake ya kutengeneza itakuwa maradufu kuliko kununua catridge mpya

Hizi printer ndogo ndogo hazina ishu; printer inauzwa elf50, wino elf35-40!! refill is cheaper bana!!! na haiwezi kusumbue m2 akifanya kwa uangalifu! Sana sana itakataa wino2, lakn ukinunua mwingine inakbali!! Kuna bwana mmoja humu alionesha sysytem ambayo inafanya autorefill; kunakuwa na chupa kadhaa za wino kwenye external "tanks"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom