Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,085
Hio ni obvious mkuu, maana inatembelea motor muda mwingi.Kuna hii toyota harrier hybrid, hivi ni kweli Litre 1 ya petrol inaenda KM 21 (Nimesoma hapo kwenye fuel consumption)?? Na bongo zinasimama bei gani??View attachment 1279242
Ukiona gari inauzwa sh m3Madalali wanatupiga hatari!
Tisa vip babuPremio new
Mwaka 2004
Cc 1490
Kilometa 100k
Bei milion 12
Contact 0713415537View attachment 1321279View attachment 1321280View attachment 1321281View attachment 1321282View attachment 1321283
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu, nimekua nikiendesha lexus rx450h 3.3lt hybrid kwa miaka kadhaa. Litre 1 ya patrol imekua ilikua inaenda mpaka 18km...tatizo limekuja baada ya majenereta yake ya kufua/hifadhi umeme kufa. Sasa inakwenda 4-5km per litre.Kuna hii toyota harrier hybrid, hivi ni kweli Litre 1 ya petrol inaenda KM 21 (Nimesoma hapo kwenye fuel consumption)?? Na bongo zinasimama bei gani??View attachment 1279242
Ni kweli kabisa mkuu, nimekua nikiendesha lexus rx450h 3.3lt hybrid kwa miaka kadhaa. Litre 1 ya patrol imekua ilikua inaenda mpaka 18km...tatizo limekuja baada ya majenereta yake ya kufua/hifadhi umeme kufa. Sasa inakwenda 4-5km per litre.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayatengenezeki na nimenunua mengine mara kadhaa yanakufa japo yaliokuja na gari nimetumia miaka 4 bila usumbufu mpakayalipokufa ghafla.Hahaha, ndugu kuna kipindi nilitaka ninunue harrier hybrid, fundi akanikatisha tamaa kwamba betri ikifa inakuwa ni issue, sasa je hakuna kutengenezeka hayo majenereta?
Zipo nyingi nichek kwa 0713415537Kwa M4 naweza pata GX 100 au Verosa nzuri ? Kama inawezekana na Kuna mahali imeonekana nilengeshe plz. Niko Songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo wapi kakaHarrier old model
Kali zaidi ya sn
Engine Vvti
Tuuze 13.5ml