zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 251
I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume na mwanamke ingekuwaje? hivi wadada wangekuwa wanajeremba kweli? pangekuwa na masista duuh na mabrazamen? mamen wangekuwaje?
Si wanawake si wanaume kila siku humu MMU watu wanaomba ushauri, wengine wanalalamika wametendewa ndivyo sivyo na wapenzi wao lakini kisa ni hii mambo hii! Je isingekuwepo tungekuwa na hata hizi social networking kweli!?
hii katika hali ya kawaida unaweza ukaji exempt katika hii mambo?
tujadili kistaarabu hii matusi sitaki