Ingekuwaje kama sexual intercourse isingekuwepo?

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume na mwanamke ingekuwaje? hivi wadada wangekuwa wanajeremba kweli? pangekuwa na masista duuh na mabrazamen? mamen wangekuwaje?
Si wanawake si wanaume kila siku humu MMU watu wanaomba ushauri, wengine wanalalamika wametendewa ndivyo sivyo na wapenzi wao lakini kisa ni hii mambo hii! Je isingekuwepo tungekuwa na hata hizi social networking kweli!?
hii katika hali ya kawaida unaweza ukaji exempt katika hii mambo?
tujadili kistaarabu hii matusi sitaki
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
859
You can't miss what you never had.

We have sex for pleasure and to reproduce. Kama huwezi kureproduce au kupata raha wakati wa kufanya mapenzi basi kuna tatizo. Sex is as natural as breathing. Kama una tatizo la kupumua there might be a big problem. If you can't have pleasure in life, then what is the point? To understand pleasure there must also be pain, hence why MMU inajaa kuliko section yoyote Jamii Forum.

I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume na mwanamke ingekuwaje? hivi wadada wangekuwa wanajeremba kweli? pangekuwa na masista duuh na mabrazamen? mamen wangekuwaje?
Si wanawake si wanaume kila siku humu MMU watu wanaomba ushauri, wengine wanalalamika wametendewa ndivyo sivyo na wapenzi wao lakini kisa ni hii mambo hii! Je isingekuwepo tungekuwa na hata hizi social networking kweli!?
hii katika hali ya kawaida unaweza ukaji exempt katika hii mambo?
tujadili kistaarabu hii matusi sitaki
 
waubani

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
542
206
kungekuwa hakuna kondm, vidonge vya uzazi wa pango, kungekuwa hakuna ukimwi probably kusingekuwa na vipodozi na salon.
 
Rada

Senior Member
Feb 29, 2012
123
42
Hii ingepunguza madhambi mengi sana humu duniani, tungekuwa watakatifu kidogo!
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,435
Ha ha ha.. Nadhani tungekuwa kama kuku vile.. Jogoo likiona kuku jike ambalo lipo kwenye joto linafukuzia ili limwekee mbegu.. In da process anatokea Jogoo mwingine mwenye nguvu ananyang'anya mzigo na kupanda yeye.. Ingekuwa hivyo sijui kama Mkuu Bujibuji na unyonge wake angepata mzigo.. Ha ha ha...
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume na mwanamke ingekuwaje? hivi wadada wangekuwa wanajeremba kweli? pangekuwa na masista duuh na mabrazamen? mamen wangekuwaje?
Si wanawake si wanaume kila siku humu MMU watu wanaomba ushauri, wengine wanalalamika wametendewa ndivyo sivyo na wapenzi wao lakini kisa ni hii mambo hii! Je isingekuwepo tungekuwa na hata hizi social networking kweli!?
hii katika hali ya kawaida unaweza ukaji exempt katika hii mambo?
tujadili kistaarabu hii matusi sitaki

Kungekuwa hakuna haja ya kuwa na kiumbe chenye jinsia ya kike au kiume. Reproduction ingekuwa through 'binary fission' (Prokaryotic fission)/ au kwa lugha rahisi 'asexual reproduction' badala ya kupitia kwenye 'sexual intercourse'. Nafikiri pia dunia ungeboa sana maana kungekuwa hakuna kupeana furaha za ziada kati ya binadamu. Binary fission ingeruhusu kila mtu azae anapojisikia bila kuungana kimwili na kiumbe mwenzake mwenye jinsia tofauti na yeye.

Tungekosa wanawake waombolezaji, waimbaji, wanaotupikia vizuri, wanaotulea na kutukarimu, wanaotubembeleza na kutupa raha, wanaotujalia, kutupikia na kutufulia nguo, wanaotuuguza, wanaotushauri, wenye maumbo, sura na miondoko inayotupa raha nk

Kwa kifupi, dunia ingekuwa mbaya sana, na wala siitamani dunia bila mwanamke, lol! Mama HorsePower J ningempata wapi? Acha hii maneno bwana!!!
 
aise kwakweli kungekuwa pabaya mno manake hii kitu unaweza ukapika kwa lisaa limoja na nusu but usisahau maisha yako yote unahadithia tu
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
Ha ha ha.. Nadhani tungekuwa kama kuku vile.. Jogoo likiona kuku jike ambalo lipo kwenye joto linafukuzia ili limwekee mbegu.. In da process anatokea Jogoo mwingine mwenye nguvu ananyang'anya mzigo na kupanda yeye.. Ingekuwa hivyo sijui kama Mkuu Bujibuji na unyonge wake angepata mzigo.. Ha ha ha...
hahahahahahahah
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
24,214
34,362
duh!! itakuwa poa sana maana for one i wnt have to keep up wit the drama na maringo ya wanawake wakati unafukuzia kuwavua chupi....maisha full starehe
 
CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,779
1,718
Bila sex wote tusingekuwepo!! Hiyo raha mnayosema ingekuwepo bila sisi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom