bila shaka we huna cha maana cha kufanya saa hizi, ila kama ni viongozi wa kisiasa nadhani atakaebaki mwisho, yaani mshindi ni Mnyika na wa kwanza kuwa evicted atakuwa Nepi Nahuyo! Ni mtazamo tuWana JF hivi viongozi wote Tanzania wangewekwa MAISHA PLUS kina nani wangetolewa haraka na nani angeshinda na kwa nini?