Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Wapenzi hawa walio kuwa wamezoea kutaniana sana lakini siku hii ukweni ilikuwa nouma
mary alimpeleka mpenzi wake kwao aitwae john kumtambulisha akawasalimia wazazi vizuri sasa wakti wa maakuli sasa ilikuwa balaa mama alikuwa anapeleka msosi daining wakati huo john nampenzi wake wakinyanyuka kwa bahati mbaya john alijikwaha na kuanguka
mama mkwe akasema pole john mwanangu
mary kwakupayuka akasema mama haina haja ndiyo hvyo john akishaonaga chakula anachanganyikiwagaa