Ingekuwa Tsh ngapi

Ingekuwa Tsh ngapi

Joined
Mar 28, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Mimi nafanya kazi kwa mwezi nalipwa ksh.3000.je ningekuwa Tz ingekuwa Tsh ngapi? Naomba kujua.
 
We mtata fanyanya, ×19.5utajua
 
pole sana hiyo cash ya siku 30 au siku 3?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/-
Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare
 
Kwa sasa Ksh tunainunua kwa tsh 19 hiyo ni sawa na 57, 000/-
Na maisha ya Nairobi yalivyo...mh...may be unaishi Kibera au mathare

So unamshauri ajirudie Tanzania eeh
 
Mimi nafanya kazi kwa mwezi nalipwa ksh.3000.je ningekuwa Tz ingekuwa Tsh ngapi? Naomba kujua.

MKUU unafanya KAZI gani huko mbona pesa ndogo sana hiyo rudi bongo MKUU uza hata maji hiyo pesa utaipata ndani ya siku chache sio mwezi bana.

bongo maisha magum kwa maneno mdomoni lkn kiukweli sio .

unakuta kijana hana kazi but anamiliki sim ya laki na nusu na zaidi.
kapanga ghetto au analala mchongoma msosi na vinywaji kwa siku ni zaidi ya 10.

rudi bana hata upige debe tuu maana kiukweli wale jamaaa mateja wanapata sana pesa sema zote zinaishia kuwatajilisha wakina riz.

njoo ufanye hata kazi yakuokota makopo MKUU kuna watu wanafamilia wanaziendesha na kusomesha kwakutegemea biashara ya kuokota makopo
 
siwezi mpa ushauri wowote ..alichouliza kishapata jibu...labda hata weather ya Nai inamvutia..siwe zijua
 
Back
Top Bottom