Mmhhh ptuuuuuuuu,
ndo maana nilikuwa nahici harufu za ajabuajabu kwenye homepage ya jf.Kumbe ni Huyu Fisi mtu kaharibu hali ya hewa humu ndani.Mtoe bwana nahici kitapi tapi.
Mmhhh ptuuuuuuuu,
ndo maana nilikuwa nahici harufu za ajabuajabu kwenye homepage ya jf.Kumbe ni Huyu Fisi mtu kaharibu hali ya hewa humu ndani.Mtoe bwana nahici kitapi tapi.
Ooyooo ni tundu gani hiyo ya kuweza kutoa hicho kifusi cha zege na hiyo ni sawa sawa na gari ya tiper moja lakini nayo ni nemaa sana hiyo kwa samaki tena nasikia ndio chakula chao kikuu hicho kama sisi ni chips na mayai