robin shango
Member
- May 25, 2015
- 6
- 1
Mko meza ya chakula mnapata dinner, ghafla simu inaita, ukapokea. Kila mtu amekaa kimya, halafu unajamba...
Ningejamba ushuzi usionuka sana coz kuna watu lkn kama niko peke yangu, basi nawezatoa kijambo cha harufu Kali bila woga kwa sababu there will be no reason to fear as long as am just alone!Mko meza ya chakula mnapata dinner, ghafla simu inaita, ukapokea. Kila mtu amekaa kimya, halafu unajamba...