Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 138
- 537
Cheap is expensive kuna mtoto anadai yupo form two anasoma dumu fagio Ila hajui kitu hata kimoja kuhusu masomo hii inaashiria huwa anapeleka mwili shule na sio Akili.Ukwelii mchungu watoto /wadogo zetu WA form two wamefeli sana
Ni kama NECTA wameamua Kua Serious kuset mitihan na Kumark worked scripts.
Division four imeokoa wengi sana na simply division four ni kufeli
Reflection tunayoipata si nzuri kiuchumi na kwa future ya hawa wanafunz
nchihi ambazo zimendelea mfan South Korea na japani walifanikiwa kwa Kuakikishawanapta the best students kwenye kila level.
Leo south Korea hakuna mwanafunzi anayefeli kwa sababu ya strong foundation yaan no masihara kwenye education.
Leo south Korea WAna the best doctors , Best engineers , excellent bankers n.k.
reflection ya ufaulu mdog Tanzania tunaiona Leo tuna engeneers teachers, doctors , bankers lakin wapo mtaani wanashindwa kuchekecha akili kubadil elimu kuja kwenye reality wote wanakua MADALALI
Kuna gape kubwa Kat ya private schools na government schools inaonekana private wamefanya vizuri zaid .
serikali iwe serious ia
Ukwelii mchungu watoto /wadogo zetu WA form two wamefeli sana

Ingekuwa Division Four Wanafeli Form Two ingekuwa Majanga...!
Ingekuwa vizuri ungetufafanulia hii Sentensi kwanza kabla hujaendelea..!
Kuna vijana Wanavurugikiwa mwishoni Kuna mambo yanawasibu tu..!
Sentensi tata..
Nafikiri ndio maana sahihi ya mtoa thread.Yaani anamaanisha kama kungekuwa na kufeli form two basi wangefeli wengi. Yaani wasingeweza kuendelea wengi kama ilivyo kidato cha nne kwenda cha tano.
Mtoa mada atanisahihisha ikiwa nimekosea kumfafanualia
Ingekua wanaopata division four hawaendelei na kidato cha tatu basi wengi wasingeendelea na kidato cha tatu mwaka huu,, mtoa mada amemaanisha division four nayo ni moja ya daraja la ufaulu linalomwezesha mwanafunzi kuendelea na kidato cha tatu.Ingekuwa Division Four Wanafeli Form Two ingekuwa Majanga...!
Ingekuwa vizuri ungetufafanulia hii Sentensi kwanza kabla hujaendelea..!
Kuna vijana Wanavurugikiwa mwishoni Kuna mambo yanawasibu tu..!
Sentensi tata..
Najaribu Kuelewa... yaani aliyefanya vibaya na kupata Division Four alipokuwa form two, hapo sawa..!Yaani anamaanisha kama kungekuwa na kufeli form two basi wangefeli wengi. Yaani wasingeweza kuendelea wengi kama ilivyo kidato cha nne kwenda cha tano.
Mtoa mada atanisahihisha ikiwa nimekosea kumfafanualia
Maana siyo ulivyoelewa.Najaribu Kuelewa... yaani aliyefanya vibaya na kupata Division Four alipokuwa form two, hapo sawa..!
Lakini ikiwa Division four ya Form four, mtu huyu inawezekana Alipokuwa Form two alikuwa Vizuri sana isipokuwa kuna Vitu havikuenda Vizuri akavurugikiwa tu baadae...