Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,108
Yaaa.... Akchware hili jukwaa langu pendwa hili lakini nilikuwa mfupi kwalo...... Bezikale linakwenda ekselenti, hongera.
Baada ya siasa hili linafata........... Nimerudi, yani nitakuwepo, wakongwe wenzangu kujeni, wageni haswaaaa...
Siyo kwa uandishi huu...
@kaunta
Baada ya siasa hili linafata........... Nimerudi, yani nitakuwepo, wakongwe wenzangu kujeni, wageni haswaaaa...
Siyo kwa uandishi huu...