Infwakti napokea fax!

Infwakti napokea fax!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Mmarekani, Mhaya naMjapani walikutana ndani ya Sauna kwenye Hotel ya Hilton Manhattam Jijini NewYork. Wote wakiwa uchi wakifurahia unyunyuunyunyu wa kwenye Sauna. GhaflaMmarekana akafanya kama anapangusa mdomo akasikika akisema "halloHoney." Wakamuuliza inakuwaje? Akasema anawasiliana na mkewe aliyekoLondon kwa njia ya simu ambayo simu kadi yake imeweka ndani ya kiganja chakecha mkono. Wakaendelea kula kimvuke cha sauna.

Mara ghafla Mjapani nayeakanyoosha mkono kama anajifanyia manicure akaonekana anasoma kitu kama pichana mafaili kwenye kucha zake, wakamuuliza vipi, akajibu akasema anadownloadfile la mkutano lililotumwa na Boss wake toka Tokyo kutoka kwenye iPad2 yakeiliyochimbiwa chini ya kucha yake.

Mhaya akajisemea kimyakimya hapa sasa na mimi nionyeshe mbwembwe. Akaondoka kwa hasira akaenda WC(Chooni), aliporudi akawa ameacha Toilet Papers inaninginia matakoni mwake.Wenzake wakamuuliza 'Vipi, akawajibu? Akasema "Napokea Fax toka kwaProfessa Rutahindirwa wa Havard School of Law".

hahahahahahahahahahahahahahhaahahahhahahaa
 
mamaaaaaaa umecopy na kuuuuuu malizia mwenyewe!
 
Yote heri ni mambo ya ubunifu tu hapo mlitaka afanyeje?kila mtu na ubunifu wake bwana.
 
Hahahahahaaaaaaaaaa, uuuwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Japo nilishaisoma mahali lakinini nimecheka sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom