curry_atomic
Member
- Mar 30, 2020
- 57
- 48
Mungu akutangulie kijana ila kwa ushauri tu embu ingia LinkedIn watafute Wakuu wa idara wa ICT Companies uwaombe internship chances kwanza in the process ya kujitolea tafuta connection za ajira mfano wa kampuni izo ni powercomputers, softnet, ICT solutions na Habari Node.Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie
Nipo na skills kwenye sehemu zifwatazo
1. Programming (Java,Php, JavaScript)
2.Farameworks(Laravel, spring boot,Spring security)
3.Front end library React.js
4.React native(mobile app)
5.Bootstramp,CSS, HTML
GitHub link hii unaweza kuona showcase za project zangu
Namba:0738886086Curry-flex - Overview
Live Laugh Learn Love. Curry-flex has 59 repositories available. Follow their code on GitHub.github.com
Kwa yoyote anaweza nisaidia maana nimekua nikitafuta bila mafanikio kwa sasa na sehemu niliopo kwa sasa nikienda ofisi nyingi wananiambia hawana idara za IT..... natanguliza shukranii
Shukrani sana mkuu ngoja nilifanyie kazi hili piaMungu akutangulie kijana ila kwa ushauri tu embu ingia LinkedIn watafute Wakuu wa idara wa ICT Companies uwaombe internship chances kwanza in the process ya kujitolea tafuta connection za ajira mfano wa kampuni izo ni powercomputers, softnet, ICT solutions na Habari Node.
NB: Chonde Chonde usipeleke CV ukaiacha kwa sijui Secretary au msaidizi wewe nenda moja kwa moja kwa HR, Director au Mkuu wa idara
ilo pia nalifanyia kazi wakati huo huo nahangaika na intern pia mpaka sasa sijajua riziki ntaipata waapiKwanini usijiajiri...utengeneze social media yako?
Be your own bossilo pia nalifanyia kazi wakati huo huo nahangaika na intern pia mpaka sasa sijajua riziki ntaipata waapi
AmeenBe your own boss
Mkuu ila project zako hazina hata maelekezo bro, yaani ulikuwa unatumia kama kwenye driveHabarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie
Nipo na skills kwenye sehemu zifwatazo
1. Programming (Java,Php, JavaScript)
2.Farameworks(Laravel, spring boot,Spring security)
3.Front end library React.js
4.React native(mobile app)
5.Bootstramp,CSS, HTML
GitHub link hii unaweza kuona showcase za project zangu
Namba:0738886086Curry-flex - Overview
Live Laugh Learn Love. Curry-flex has 59 repositories available. Follow their code on GitHub.github.com
Kwa yoyote anaweza nisaidia maana nimekua nikitafuta bila mafanikio kwa sasa na sehemu niliopo kwa sasa nikienda ofisi nyingi wananiambia hawana idara za IT..... natanguliza shukranii
Kuna baadhi kama 5 ndio sikuandika README hasa izi recent repository ila nyingine zote zinamaelekezoMkuu ila project zako hazina hata maelekezo bro, yaani ulikuwa unatumia kama kwenye drive
Shukrani mkuu kwa ushauriiimkuu pambana na project zako ukiwekeza kwenye kusaka kazi utamaliza visigino