information technology ni science au arts

Hata mimi nashindwa kuielewa hii course ..kuna demu huku kitaa chetu kasoma HKL halafu kachaguliwa BIT ya NIT ..mwingne kasoma CBG kachaguliwa iyo course ....IT ya NIT haieleweki kabisa......inasomwa kiholela itakuwa inafanana na zile IT za mtaani kama IT ya Amazon collge au Kilimanjaro institute pale kwa mama Ngoma Mwenge
 
HKL anagonga IT??
 
HIYO SCIENCE MTU ALIYESOMA HKL HAWEZI KUSOMA ACHA UPOTOSHAJI SOMA GUIDE BOOK OTHERWISE NI MISTAKE ZIMETOKEA
 
Kwa baadhi ya vyuo huchukua watu waliyo soma HGE,EGM,PCB,CBG,EGM n.k kwa HKL pia inawezekana wao wanachokiangalia ni BAM ya advance au Basic Maths ya O-level.
Waliyosoma HGE,HKL,CBG na PCB wanapata sana shida pale inapofika kusoma course za Hesabu(pure maths) lakin kwa sababu ni chuoni ufaulu bila shidah yyte na SUP chache.
Kwa kumalizia BIT hiyo ni science (social science kwa mbali) na siyo Arts.
 
Kuna dogo hapa kitaa chetu amechaguliwa NIT iyo course kasoma HKL ila O level ana B ya mathematics......
 
Kwa baadhi ya vyuo huchukua watu waliyo soma HGE,EGM,PCB,CBG,EGM n.k kwa HKL pia inawezekana wao wanachokiangalia ni BAM ya advance au Basic Maths ya O-level.
Waliyosoma HGE,HKL,CBG na PCB wanapata sana shida pale inapofika kusoma course za Hesabu(pure maths) lakin kwa sababu ni chuoni ufaulu bila shidah yyte na SUP chache.
Kwa kumalizia BIT hiyo ni science (social science kwa mbali) na siyo Arts.

Waliosoma HKL .HGL..HGE..PCB..ECA hawapati shida ila wanaDISCO kabisa ..wakibahatika kumaliza GPA haizidi 3.0
 
Hata mimi nashindwa kuielewa hii course ..kuna demu huku kitaa chetu kasoma HKL halafu kachaguliwa BIT ya NIT ..mwingne kasoma CBG kachaguliwa iyo course ....IT ya NIT haieleweki kabisa......inasomwa kiholela itakuwa inafanana na zile IT za mtaani kama IT ya Amazon collge au Kilimanjaro institute pale kwa mama Ngoma Mwenge
UDSM na UDOM ni wale wale tu.
 
Back
Top Bottom