Information Technology (IT-TEHAMA)-01

Information Technology (IT-TEHAMA)-01

jikuTech

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
228
Reaction score
290

UTANGULIZI

JIKU TECH TIPS ni Software Developer na mkufunzi wa hatua za awali na kati za kujifunza , kufanya na kuishi Tehama ya awali, kati na juu.

TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huwakilisha teknolojia ya kompyuta na mitandao ya mawasiliano.

Ili uendelee na vipindi, Makala na masomo yanayo kuwa yanaendelea Jiku Tech Tips ni lazima utambue na uelewe vipengele hivi na ujitathimini mwenyewe kwamba unaweza kuwa kwenye kipengele gani kati ya hivi.



Tehama ya awali: ni utumizi wa vifaa na ufanyaji wa mambo ya Tehama ngazi ya mwanzo kabisa, taaluma hii inajumuisha namna ya kutumia vifaa vya teknolojia hasa simu na kompyuta .

Tehama ya kati: ni utumizi wa vifaa na ufanyaji wa mambo ya Tehama ngazi ya kawaida , taaluma hii inahusisha matumizi ya intaneti katika kutafuta taarifa mbalimbali , ujuzi wa kuweka program kwenye simu au kompyuta na kila kitu kuhusu miondoko kwenye vifaa vya teknolojia.

Tehama ya juu: ni utumizi wa kiwango cha juu wa mambo ya Tehama, Mdau wa Jiku Tech Tips, hapa atakuwa na uwezo wa kutengeneza programu za kompyuta kutoka kwenye Mawazo yake mwenyewe kwa kutumia ujuzi wa programming. Tehama ya juu haiishii hapa kwa hiki kinacho fanyika Jiku Tech Tips bali ina mambo mengi ndani yake ambayo utayafahamu kadiri unavyo kuwepo kwenye kipengele hiki cha Tehama ya juu.

Baadhi ya mambo ambayo utajifunza zaidi;​

Jinsi ya kupata elimu ya mambo mbalimbali kwenye mtandao wa intaneti.

Smart Compyuta skills

Ujuzi wa Programming

Software Development

Namna ya Tehama katika shughuli za kila siku hata biashara



Teknolojia ni sayansi​

Sayansi inafanya kazi ya kutafuta, kushughulikia taarifa na kuhifadhi mantiki zote zinazo tokana na taarifa hizo kwa ajili ya matumizi ya baadaye na siku hizo hasa kwenye maamuzi flani.

Taarifa ni Habari maalumu, pia taarifa inaweza kuwa takwimu zenye maana inayoweza kutumika kufanya maamuzi flani.


Jiku Tech Tips inajivunia kuwa mshirika wako katika safari yako ya kujifunza na kukuza ujuzi wa teknolojia. Kama Full Stack Developer mwenye uzoefu na Mkufunzi mtaalamu, Jiku Tech Tips imejitolea kukupa mafunzo bora na yenye tija katika ngazi zote:

  • Ngazi ya Awali: Tunaweka msingi imara kwa wanaoanza, tukihakikisha unaelewa dhana za msingi za programu na teknolojia.
  • Ngazi ya Kati: Tunakusaidia kukuza ujuzi wako zaidi, kukufundisha mbinu za hali ya juu na kukupa uwezo wa kutatua changamoto za kikazi.
  • Ngazi ya Juu: Tunakuandaa kuwa mtaalamu wa teknolojia, kukufundisha kuhusu mifumo changamano na kukupa ujuzi wa kuongoza miradi ya teknolojia.
Kwanini uchague Jiku Tech Tips?

  • Uzoefu wa Kina: Tunajua mahitaji ya soko la teknolojia na tunakupa mafunzo yanayokufaa.
  • Mbinu Shirikishi: Tunatumia mbinu za kufundisha zinazokushirikisha kikamilifu, kuhakikisha unaelewa na unakuwa na uwezo wa kutumia ujuzi ulioupata.
  • Mtaala Uliopangwa: Tuna mtaala uliopangwa vizuri ambao unakusaidia kujifunza kwa utaratibu na kufikia malengo yako.
  • Msaada Endelevu: Tunakupa msaada wa kutosha hata baada ya mafunzo, kuhakikisha unaendelea kukua na kufanikiwa katika taaluma yako.
Jiku Tech Tips inakupa uhakika wa kupata mafunzo bora yatakayokufanya uwe mtaalamu wa teknolojia unayetamani. Jiunge nasi leo ili tuanze safari yako ya mafanikio!


Tembelea kiungo hiki hapa chini kuingia kwenye mafundisho ya IT -TEHAMA yanayo endelea mtandaoni kupitia WhatsApp,Youtube na Live Session

<<<< Jifunze Information Technology (IT-TEHAMA) >>>>

View 02

Bonyeza HAPA Ingia kwenye mafunzo haya, Ujifunze moja kwa moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom