Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,471
- 526
Kuna kitu kibaya sana tumemkosea Mungu hata akaipa ujasiri tume ya Taifa ya uchaguzi kutuamulia tuongozwe na nani? nahisi kama wananchi wakichoka sana damu itamwagika hapa TzHivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.
Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.
Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!
hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!
Kwa ufupi inflation ni too much money for very few goods. scarcity kwa ufupi. Nimeongelea mchele coz ni one of the core food stuf. sukari, unga bei yake unaijua hata JK alituahidi bei lkn imeshindikana. sijui shule yako na sijui kama utanielewa. Ila mi nimekumegea what i meant.kigezo chako cha iflation ni kupanda kwa bei ya mchele?
Pole sana mkuu, sie watu wa mwanza tunanunua 1300 kwa raha zetu, na kama jua litafululiza kuwaka within this week tutanunua 1000 kwa kilo...........
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!
hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!
hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!
Hayo ndio matokeo ya baba zako na bibi zako walioichagua CCM mwaka 2010,sasa waache wakione cha moto,na bado mimi naomba ifike buku tano kabisa ili ndugu zako watie adabu ili 2015 akili ziwe zimewarudi!Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.