WANA JAMVI, Asalaam aleykum.
- Katika nchi zote duniani jukumu la kuteremsha chini mfumuko wa bei (Inflation) upo chini ya Benki kuu za nchi husika.
- Benki kuu huteremsha chini mfumuko wa bei kwa kurekebisha ujazo wa fedha kwenye mzunguko na riba ili kuathiri Mahitaji/matumizi ya Jumla (Aggregate Demand/spending).
- Mfumuko wa bei Tanzania haupo katika demand bali uzalishaji (Supply) kwa sababu ya makwazokwazo yanayoathiri uzalishaji.
- Hii inathibiitika kupitia kupanda kwa bei ya chakula kutokana na uzalishaji mdogo na mfumuko mwingine wa bei kutokana na bidhaa zinazoagizwa toka nje.
- Hapo pekundu, ndipo panapolimit uwezo wa Benki kuu kuzuia na kuuteremsha mfumuko wa bei kwa kuwa ni upande wa pili wa sarafu (supply) ambao Benki kuu hupata shida kuuathiri na matokeo kupatikana katika kipindi kifupi.
- Hii ina maanisha kuwa, juhudi za serikali kushusha mfumuko wa bei kupitia fiscal policies hazitaleta mafanikio katika kipindi cha muda mfupi bali muda wa kati na muda mrefu ujao.
NB: Kama una maono ya kiuchumi kutatua tatizo tofauti na haya tujuze kwa manufaa ya Taifa letu.
Nawasilisha.

Waalikumusalaam. Ok, kulingana na maelezo yako, vitu viwili vinapunguza au kuziwia uwezo wa Benki kuu (Central Bank) kudhibiti mfumuko wa bei. 1. Bei ya chakula (production) na Bidha zinazoagiza toka nje (Import).
Kuhusu 1. bei ya chakula: Benki inaweza kuwapatishia mikopo wakulima, hii itaongeza uzalishaji (it will produce a shock in a supply function). Serikali wakati huo huo, inaweza kushusha tariff katika mbolea, bembejeo na teknolojia za ukulima as a fiscal policy. Sisi hatujui lakini banki kuu inajua asilimia gani ya mikopo ilienda kwa wakulima mwaka jana na Juzi. Kwa hiyo, kwa sababu benki kuu ndio inayokopa hizi benki zingine, ina zana nyingi katika mkoba za kushawishi bnki zingine kuona manufaa ya kukopesha wakulima. Yani kwa mfano, Benki kuu inaweza kutoa discount rate kwa benki zinazokopesha wakulima.
Kuhusu 2. Bidhaa zinazoagizwa kutoka nje: Serikali ifanye marudio ya trade policy kwa sababu hili linasababishwa na exchange rate. Pia Benki zikopeshe watanzania wafunguwe viwanda hapa hapa bongo. Bidhaa nyingi zinazotaka nje zinaweza kuzalishwa hapa. Yani huko zinakotoka zinatengenezwa na viwanda vidogo vidogo.
kwa kumalizia, Ingawa umeandika kua hii ni Cost pull inflation, nadhani kuna vipengele kua hii ikawa ni demand pull inflation, ukingazingatia pointi aliyoandika Dudus. Na ndio maana unaona increase in imports.
Raha ya kuchambua haya mambo ni kua na Data unaziona.
Kauli za walioshindwa. Piga panga anasa na starehe zote serikalini kama nchi haijapaa kiuchumi wala huhitaji mnajimu wala mganga kutoa utabiri hapa.
What are policy makers (Government and BoT) doing to make our shilling stable?
1. "If a factor increases the demand for domestic goods relatively to foreign goods, the domestic currency will appreciate; if a factor decreases the relative demand for domestic goods, the domestic currency will depreciate". Is there any positive initiative being done such as AGOA and like? What Ministry of Trade doing to address this?
2. "In the long run, a rise in a Country's price level (relatively to the foreign price level) causes its currency to depreciate, and a fall in the country's relative price level causes its currency to appreciate". What is government doing to reduce rocketing of food prices?
3. "Increasing trade barriers causes a country's currency to appreciate in the long run" Do we really need to continue importing sub-standard goods from china such as plastic shoes, artificial flowers, low quality electrical goods? What is the role of Ministry of Industry and SIDO in supporting small scale industries such as for shoes?
4. "Increased demand for a country's exports causes its currency to appreciate in the long run; conversely, increased demand of imports causes the domestic currency to depreciate".When our leaders will show the way for example wearing suits made from Sungflag produce? Or Stocking their refirgerators with Dodoma wine instead of South Africa wine?
5."In the long run, as the country becomes more productive relative to other countries, its currency appreciates". Has anybody linked the depreciation of our shilling to the effect of factories closed after being privatised?
Source:Mishkin & Eakins, 7e https://www.jamiiforums.com/busines...-shilling-are-policy-makers-still-asleep.html
Hapo pekundu ni Expansionary Monetary Policy ambayo kiuchumi itasababisha mfumuko wa bei zaidi.
Hapo pekundu, anasa na starehe za serikali zinaonekana vipi katika CPI...? Tujuze hili.