Infinix x551 haisomi network

Infinix x551 haisomi network

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,146
Reaction score
16,999
Msaada smart phone aina ya infinix x551haisomi network. nimeletewa na mtu kama zawadi toka nairobi. Line mbili zote hazisomi.
Msaada tafadhali
 
Msaada smart phone aina ya infinix x551haisomi network. nimeletewa na mtu kama zawadi toka nairobi. Line mbili zote hazisomi.
Msaada tafadhali
Ilikuwa inatumika nchi gani na ni mtandao gani .........???
 
Back
Top Bottom