Infinix smart 2 vs infinix hot 6

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
Habari Geeks
Nina plan ya kumchukulia bwana mdogo smartphone kati ya hizo nilizoainisha hapo juu kwaajili ya matumizi ya kawaida,camera na perfomance ya simu husika vinapewa kipaumbele.

Nawasilisha.
 
Habari Geeks
Nina plan ya kumchukulia bwana mdogo smartphone kati ya hizo nilizoainisha hapo juu kwaajili ya matumizi ya kawaida,camera na perfomance ya simu husika vinapewa kipaumbele.

Nawasilisha.
Taja budget yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ