Infinix Note 12 VIP ni simu bora 2022

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,292
Reaction score
2,617
Fahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo wa series ya Note kuanzia Infinix NOTE 12 VIP , NOTE 12 pamoja na NOTE 12 PRO.

Unajua kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP !!

๐“๐ž๐ค๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ฃ๐ข๐š ๐๐จ๐ซ๐š ๐ฒ๐š ๐Ÿ๐š๐ฌ๐ญ ๐œ๐ก๐š๐ซ๐ ๐ข๐ง๐ 
Kupitia simu ya Infinix NOTE 12 VIP Kasi ya kuchaji Simu imekua Bora unaweza chaji simu na kujaa haraka bila kuhalibu mifumo ya Betri kuanzia asilimia 0% mpaka 100% ndani ya dakika 17 tu. Betri lenye 4500mah hivyo inafanya uchaji simu ndani ya muda mfupi sana.

๐Š๐ข๐จ๐จ ๐๐จ๐ซ๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐‚๐ก๐š ๐‚๐ก๐š ๐€๐ฆ๐จ๐ฅ๐ž๐ ๐ƒ๐ข๐ฌ๐ฉ๐ฅ๐š๐ฒ
Nani asiyejua ubora wa Amoled Display!! Ni kioo kizuri chenye kuonyesha kitu kwa ubora wa Hali ya juu kabisa kwanza ni inchi 6.7 ya Amoled ukitizama kitu unakifurahia zaidi pia Kuna security protection ya kulinda macho yako wakati unatumia simu.

Pamoja na ๐—ฟ๐—ฒ๐—ณ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐—›๐˜‡ Yani ukigua kitu tu kinafunguka ndani ya sekunde 1 hivyo kuifanya skrini yako kufungua kitu kwa haraka zaidi na kuboresha matumizi na kufanya ufurahie simu yako kwenye matumizi.

๐Š๐š๐ฆ๐ž๐ซ๐š ๐๐จ๐ซ๐š ๐ฒ๐š ๐…๐ฎ๐ฅ๐ฅ ๐‡๐ƒ
Wala huitaji kuweka filter kitu natural kabisa!! Watumiaji wa Infinix NOTE 12 VIP utaweza kupiga picha na ikatoka Kali yenye megapixel 108mp pamoja na lenzi ya pembeni Pana yenye 13mp itakufanya hutoe picha zenye ubora zaidi.

Huku megapixel ya mbele ni 16mp yenye LED mbili kwa ajili ya kutoa picha Kali nzuri kabisa kupitia self hata kwenye giza totolo.

๐‘๐š๐ฆ & ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐š๐ ๐ž ๐ณ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ
Kupitia Infinix NOTE 12 VIP utaweza kuongeza ram na kutoka GB8 mpaka GB13 kwa kuunganisha pamoja na kufanya kufungua program mbalimbali kwa haraka bila kuganda Ganda kipengele hiki kinaongeza ufanisi zaidi wa kufanya Kazi kwenye simu.

Internal storage sasa kuanzia 128 mpaka 256 GB utasikia tu kwa majirani simu kujaa na kuganda Ganda.

๐‹๐š๐ฒ๐ž๐ซ ๐†๐ซ๐š๐ฉ๐ก๐ž๐ง๐ž ๐œ๐จ๐จ๐ฅ๐ข๐ง๐  ๐ฌ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐ž๐ฆ
Ukitumia simu ya Infinix NOTE 12 VIP masuala ya simu kupata joto huwezi kusikia maana imekuja ba Teknolojia ya kupooza simu haraka ya graphene 9 na kuwa na uwezo wa kupooza kifaa chako mpaka kufikia nyuzi joto 15. Hii imekuja kwa wale watu wa kutumia simu siku nzima kwani utaichoka wakati unatumia.

๐๐ซ๐จ๐œ๐ž๐ฌ๐ฌ๐จ๐ซ ๐ฒ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ ๐†๐Ÿ—๐Ÿ”
Simu hii imekuja na processor kubwa ya G96 ni kubwa kuliko simu zote za mwanzo za Infinix na kuifanya kuwa simu ya kipekee Sana kwani ukiwa ufanisi wake ni mkubwa , unaweza cheza game , kufanya vitu mbalimbali bila shida yoyote.

Infinix NOTE 12 VIP gharama yake --> 800,000 tu.
๐‘บ๐’‘๐’๐’๐’”๐’๐’“๐’†๐’… by @infinixmobiletz
 
Haitaondoa ukweli kwamba infinix ni tecno changamfu
 
Laki nane najenga choo safi kabisa kijijini.
 
Unatakiwawa uwalipe JF,hili ni tangazo la biashara kabisa.JF wake up.
 
Kwa hiyo Helio G96 tayari viwango naishusha. Sijui kwa nini Tecno &co. wanapenda kutumia mediatek. Hapo sio bora snapdragon 765G
Xiaomi REDMI NOTE 11 pro
Xiaomi REDMI NOTE 11s
Poco M4 Pro
Zinatumia helio G96 na ziko vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ