Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 956
- 2,256
Vipi haja flashiwa kama vijana wa mjini wengi wasemavyo?Wakuu kuna simu hapa infinity hot6 x
Inashida imekata network kbsa ya mtandao wowote,
Yaana inaonyesha kabsa line zipo lakini network aishiki,
Tukiangalia upande was hardware Hamna shida yyote
Kuna baadhi ya watu wanasema imei zinasoma nje
lkina mwanzo network ilikuwa fresh kabsa
H wadau na solve vipi hilo tatzo msaada wenu tafadhali
Mwanzo network ilikuwa fresh kabsa ,ila imekata ghafla tu!!!Vipi haja flashiwa kama vijana wa mjini wengi wasemavyo?
Cjakupata mzee access name ndi nini??Access names uneshaedit na kusave?*tuanzie hapo kwanza
Hazungumzii internet kukata anasema network. Yaani hata zile bar zinazoonesha mtandao hazipo tenaAccess names uneshaedit na kusave?*tuanzie hapo kwanza
No. Nauliza simu yako imewahi kuflashiwa?Mwanzo network ilikuwa fresh kabsa ,ila imekata ghafla tu!!!
Cjuajua mzee ni flash???
Yaani means Kama bar ipo Ila 3g,E,H haisomi Basi nenda kwenye mobile network Kisha access points names Kisha add APN andika INTERNET Kisha save itakuwa tayari washa dataC
Cjakupata mzee access name ndi nini??
Yeah iliwahi Ku frashiwa mkuuNo. Nauliza simu yako imewahi kuflashiwa?
Anha ok nilikuwa sijampataHazungumzii internet kukata anasema network. Yaani hata zile bar zinazoonesha mtandao hazipo tena
Yaani hata bar za network hazipandi kabsa ,yaan had I kupiga na kutuma SMS haiwezekani,, kwa inasema your in airplane mode wakati zijabinyeza air plane modeYaani means Kama bar ipo Ila 3g,E,H haisomi Basi nenda kwenye mobile network Kisha access points names Kisha add APN andika INTERNET Kisha save itakuwa tayari washa data
Mkuu tuma picha ya minara tuone jinsi inavyosoma kisha tuanze kutiririka, kisha tuma hizo imei number kwenda 15090 tuone majibu yanayokuja.
Mkuu tuma picha ya minara tuone jinsi inavyosoma kisha tuanze kutiririka, kisha tuma hizo imei number kwenda 15090 tuone majibu yanayokuja.n