Habari zenyu wakuu.
Kwa kawaida kila anaejiingiza katika mapenzi, bila shaka anakuwa na matakwa/mategemeo yake!
Katika gurudumu la kuendesha mapenzi hayo, mtu anaweza asiyapate yale aliyoyategemea! si unajua ni ngumu kupata kila ulitakalo, na hata ukipata hautokosa na yale usioyapenda.
Sasa basi, hayo mambo au matukio yanayojitokeza, ie ambayo husababishwa na mmoja kati ya wapenzi hao, mengine yanafurahisha, mengine yanahuzunisha lakini MENGINE YANASTAABISHA/YANASHANGAZA! Hii ndio fact in issue.
Mshangao huo, hutokana na mtazamo mbovu wa mmoja kati ya wapenzi hao.
Kwa mfano:
1.kuna baadhi ya watu wakiwa ktk mapenzi, wanapenda kuwapigia/kuwabipu wenzao kila wakati, na ukizingatia hawana story za maana, na ukijaribu kupotezea baadhi ya hizo simu zao, hapo unaweza ukapokonywa mupenzi wako mchana kweupee!
2.Anakuja mupenzi wako getto, unamkula kiukweli, wakati anaondoka unamuachia vijihela, anakwambia, 'Ebbos! Ulivyonibenua vyote vile unanipa hela hizi?'
3.khaa! Kwani tunauziana?
4.Mtu unataka kumkula, anakwambia 'zima taa' or 'sitoi hadi unyonye TUMPAMBE'
5.Ke anampigia me wake na kumbwambia 'leo nakuja', me anakwenda kumeza madonge or viroba!
6.Umekaa na mpenzi wako zaidi ya mwaka mmoja, ghafla anaanza kukupotezea, ukimuuliza vipi anakuambia 'Sku izi nimeokoka!'
Nyengine orodhesheni, huenda mtu anajiona yuko sawa but kwa kuorodheshewa hapa na kugundua ni sifa mbaya huenda akaacha!