Indonesia: Hatari ya Samaki kutoweka duniani, maelfu ya Samaki wafa kwa kukosa hewa

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,865
Tukio la kutisha la vifo vya samaki wengi ilitokea katika eneo la ziwa katika mji wa Indonesia hii tukio inatukumbusha umuhimu wa kulinda mazingira yetu.Hali hii imetajwa kusambaa sehemu mbalimbali duniani,na kama mazingira hayatatunzwa kuna hatari ya kitoweo cha samaki kutoweka kabisa Duniani

Idara ya Uvuvi imesema upungufu wa hewa katika maji ulisababisha vifo vya samaki hawa.Watu wamesisitizwa kupanda miti na kuepuka uvuvi haramu unaoleta sumu katika maji

========================

INDONESIA-NORTH SUMATRA-ENVIRONMENT-MASS DEAD FISH

NORTH SUMATRA, Fishermen collect dead fish floating on Lake Toba with net in North Sumatra, Indonesia, May 6, 2016. A shocking phenomenon of mass death of fish occurred at Lake Toba in North Sumatera, Indonesia. The Department of Fisheries said the deficiency of oxygen in the water caused the mass death of fish.
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
labda mle kuna lile waitayo biochemical oxygen demand kuzidiwa na hivyo kusababisha maafa ya samaki. Hakika kuna dead plant material inayonyonya dissolved oxygen yote na hivyo kuwanyima samaki nafasi ya kupumua.Wahusika pale waangalie jinsi ya kupunguza hili janga liitwalo eutrophication wakianza na kupunguza matumizi ya fertilizer za kisasa..
 
Quickly

Hata dead animal wakidecompose huko chini kwenye maji hutumia oxygen, changanya na joto ya dunia inaongezeka, joto inamaliza oxygen kwenye maji pia.

Binadamu tusipochukua hatua madhubuti itakuwa balaa sana.

Nashauri tupande miti sana na tuitunze.Serikali ihamasishe matumizi ya gesi zaidi, bei ishushwe, tuachane na kutumia mkaa, UK walifanikisha hili century zilopita.

We've no another world.

Over
 
Back
Top Bottom