India yapiga marufuku 'App' 59 za China ikiwemo TikTok, WeChat na UC Browser

Wana emulate propaganda za kichawi za watawala wa USA, wakishindwa ushindani wa biashara katika masuala ya smartphones na specifically 5G technology ambayo China ndio inamiliki IPs nyingi katika teknolojia ya 5G kuliko Taifa lingine hapa Duniani, basi ma Yankee yanakuja na plan“B“kwa kuwatumia Wahindi.

Kila mtu mwenye akili timamu they/we know kwamba madai ya Wahindi ni ya kutunga tu wamekuwa instigated na akina Trump na Pompeo lengo hasa ni kutaka kumwaribia biashara Uchina ni hilo tu, USA ilishindwa miserably kui-contain Huawei hivi sasa Huawei ndio inaongoza Duniani kuuza smart phone nyingi ikifuatiwa na SAMSUNG, USA companies are not even a distant second in the list ndio maana wamekuja na gear Mpya kwa kuwatumia Wahindi...kuzizulia kampuni za Kichina zinazo tengeneza/program popular apps programs zinazo kuja juu kwa kasi kibihashara Duniani na kuonekana ni tishio kwa makampuni ya Merikani, narudia ku-insist kwamba wahindi wanatumiwa na Uncle SAM kuziharibia sifa kampunu za Kichina , nina uhakika kampuni hizo zikiwambia Wahindi/USA walete ushahidi wa kuthibisha madai yao watashindwa kama walivyo shindwa na Huawei huko Ujerumani - wachawi hawa wazushi balaa.g
Na vipi, google, whatsap, facebook na youtobe kufungiwa china? nayo ilikuwa sababu ya kushindwa kwenye ushindani?
 
Jamaa wana roho mbaya hata mashetani hawafui dafu
 
View attachment 1493759

Serikali ya India imepiga marufuku 'app' maarufu ya TikTok pamoja na nyingine 59 ikiwemo WeChat kutokea China ikidai ni tishio kwa nchi hiyo. Taarifa waliyotoa imesema 'app' hizo ni hatari kwa ulinzi na usalama wa India

Wizara ya Habari na Teknolojia imesema inazipiga marufuku baada ya kupokea malalamiko mengi kutoka vyanzo mbalimbali kuwa 'app' hizo zinaiba na kuhamisha taarifa za watumiaji bila ruhusa yao

Hivi karibuni, kumekuwa na mvutano baina ya mataifa hayo mawili baada ya mapigano kati ya majeshi yao eneo la mpakani ambapo Wanajeshi zaidi ya 20 wa India walipoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa

India ina watumiaji Milioni 120 wa TikTok, na ndio soko kubwa zaidi la nje la mtandao huo

===

India's government has banned TikTok and dozens more Chinese-made apps it says are a danger to the country.

In a statement, it said the apps were "prejudicial to sovereignty and integrity of India, defence of India, security of state and public order".

In total, 59 apps were banned - among them popular messaging app WeChat. It follows escalating tensions along the disputed border between the two powers.

Both India and China deployed more troops to the Ladakh region in June.

Clashes have left at least 20 Indian troops dead. Satellite images also appear to show that China has built new structures overlooking the Himalayan border region.

India's Ministry of Information Technology said it was banning the 59 Chinese apps after receiving "many complaints from various sources" about apps that were "stealing and surreptitiously transmitting users' data in an unauthorised manner".

"The compilation of these data, its mining and profiling by elements hostile to national security and defence of India, which ultimately impinges upon the sovereignty and integrity of India, is a matter of very deep and immediate concern which requires emergency measures," the ministry said.

India is TikTok's biggest foreign market, with an estimated 120 million users.

As it grew in popularity, it has faced accusations of links to the Chinese state, and of sending user data into China. Many of its strongest critics are in the United States, including some US senators who have called for an investigation into the company.

The list of apps banned by India also includes the microblogging platform Weibo, the strategy game Clash of Kings, Alibaba's UC Browser, and e-commerce apps Club Factory and Shein.

BBC
.
 
Back
Top Bottom