isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
Tumebaki na Zoom sasa inayochota taarifa hata za watu wanaofahamu kuhusu teknolojia.
Mpe somo jamaa aelewe.....
Ila inatakiwa usimbeze katika juhudi zake zamaendeleo namafanikio.....Mchina simpendi
Punguza huo mzigo wa chuki moyoni mwako ni hatari kwa afya yakoWana emulate propaganda za kichawi za watawala wa USA, wakishindwa ushindani wa biashara katika masuala ya smartphones na specifically 5G technology ambayo China ndio inamiliki IPs nyingi katika teknolojia ya 5G kuliko Taifa lingine hapa Duniani, basi ma Yankee yanakuja na plan“B“kwa kuwatumia Wahindi.
Kila mtu mwenye akili timamu they/we know kwamba madai ya Wahindi ni ya kutunga tu wamekuwa instigated na akina Trump na Pompeo lengo hasa ni kutaka kumwaribia biashara Uchina ni hilo tu, USA ilishindwa miserably kui-contain Huawei hivi sasa Huawei ndio inaongoza Duniani kuuza smart phone nyingi ikifuatiwa na SAMSUNG, USA companies are not even a distant second in the list ndio maana wamekuja na gear Mpya kwa kuwatumia Wahindi...kuzizulia kampuni za Kichina zinazo tengeneza/program popular apps programs zinazo kuja juu kwa kasi kibihashara Duniani na kuonekana ni tishio kwa makampuni ya Merikani, narudia ku-insist kwamba wahindi wanatumiwa na Uncle SAM kuziharibia sifa kampunu za Kichina , nina uhakika kampuni hizo zikiwambia Wahindi/USA walete ushahidi wa kuthibisha madai yao watashindwa kama walivyo shindwa na Huawei huko Ujerumani - wachawi hawa wazushi balaa.g
Ila inatakiwa usimbeze katika juhudi zake zamaendeleo namafanikio.....
Ukweli huupendi ?!Punguza huo mzigo wa chuki moyoni mwako ni hatari kwa afya yako
Ndio inayowakosesha usingiziSijambeza. Nakubali reverse engineering yake
Ndio inayowakosesha usingizi
Kuwapita hawatawapita ila watawanyoosha mpaka mnyookeIla hatatupita.
Hata Waarabu na jamii zake nawakubali ila wachache ni hovyo
Kuwapita hawatawapita ila watawanyoosha mpaka mnyooke
Natamani ashinde kwa 99%Trump atawanyoosha hadi 2024
Natamani ashinde kwa 99%
Wote wanapenda kwamaslahi mapana yamataifa yaoChina hapendi hata kidogo. Russia anapenda Trump ashinde maana hamfatilii
Wana emulate propaganda za kichawi za watawala wa USA, wakishindwa ushindani wa biashara katika masuala ya smartphones na specifically 5G technology ambayo China ndio inamiliki IPs nyingi katika teknolojia ya 5G kuliko Taifa lingine hapa Duniani, basi ma Yankee yanakuja na plan“B“kwa kuwatumia Wahindi.
Kila mtu mwenye akili timamu they/we know kwamba madai ya Wahindi ni ya kutunga tu wamekuwa instigated na akina Trump na Pompeo lengo hasa ni kutaka kumwaribia biashara Uchina ni hilo tu, USA ilishindwa miserably kui-contain Huawei hivi sasa Huawei ndio inaongoza Duniani kuuza smart phone nyingi ikifuatiwa na SAMSUNG, USA companies are not even a distant second in the list ndio maana wamekuja na gear Mpya kwa kuwatumia Wahindi...kuzizulia kampuni za Kichina zinazo tengeneza/program popular apps programs zinazo kuja juu kwa kasi kibihashara Duniani na kuonekana ni tishio kwa makampuni ya Merikani, narudia ku-insist kwamba wahindi wanatumiwa na Uncle SAM kuziharibia sifa kampunu za Kichina , nina uhakika kampuni hizo zikiwambia Wahindi/USA walete ushahidi wa kuthibisha madai yao watashindwa kama walivyo shindwa na Huawei huko Ujerumani - wachawi hawa wazushi balaa.g
Wote wanapenda kwamaslahi mapana yamataifa yao
US wanaongozwa namkurupukaji kwan jamaa anaeka vikwazo lakini havina athari yamoja kwamoja kwa UCHINA...
Kuliko wale wakulima wa US walozuiliwa kuwauzia mazao yao hao UCHINA ?!.....Wachina wanajua wanavyoumia
Uwe unaelewa ukisoma hizo App za kina Bhachan ?!Mkuu Mbona na China imepiga marufuku App za Watsap, Facebook, Instagram etc.....Vipi unasemaje na hapo?? Au mkuki mtamu kwa nguruwe tu
Kuliko wale wakulima wa US walozuiliwa kuwauzia mazao yao hao UCHINA ?!.....
We jamaa chuki yako itakusababishia BP
Uwe unaelewa ukisoma hizo App za kina Bhachan ?!