India yapanga kuyapiga Marufuku makampuni ya Simu ya China yanayouza simu za bei nafuu nchini humo

Uuze simu million 620. Iyo nchi adi watoto wadogo na wenyewe wanamiliki izo simu apa naona fix nyingi
 
Samsung ni South Korean brand sio mzungu ww .
South
 
Kaka tusiongee ushabiki.
China siku hz anaunda simu ambazo ukiniambia nishindanishe na Iphone na Samsung nathubutu kulinganisha.
Hiyo 200k Yako ungenunua vivoY01 uone utamu wa Ile simu.
Kama una Hela zaidi tafuta vivo Y50 au vivo x90.

Ni kweli mkuu, nimenunua Infinix mama yangu yaani quality ya video you tube ni poorest, najutia laki mbili yangu bora ningenywea bia tuu.
 
Mbn watumiaji wa Pixel hatujadiliwi hapa
...., isijekuwa watu wa huko daslam mnatuona kama tunatumia Remote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…