India yaipiku Ufaransa kiuchumi

Leo nimeelewa kwa nini wamarekani wameshika kiti hicho muda mrefu.
Wako watu mill 280 halafu wanakimbiza hadi nchi zenye watu billion. Wana rasilimali nyingi na bado wanaweza kutunyonya huku.
 
Rais wa China 1949" the great nation is built up by higher population " sasa tz tunahamasishwa uzazi wa mpago uendane na ukuaji wa uchumi na kupima vvu wanaume🙄
 
Rais wa China 1949" the great nation is built up by higher population " sasa tz tunahamasishwa uzazi wa mpago uendane na ukuaji wa uchumi na kupima vvu wanaume🙄
Huyuhuyu China alipiga marufuku kuzaa zaidi ya mtoto mmoja mpaka hivi karibuni limit imekuwa watoto wawili tu
 

Denmark ina population sawa na jiji moja la DSM lkn imeendelea Mara 1000 kuliko TZ au India.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…