India: Wananchi Milioni 122 wapoteza ajira kutokana na mlipuko wa Coronavirus kwa mwezi Aprili pekee

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Ripoti mpya imeonesha wananchi Milioni 122 wa India wamepoteza ajira zao ndani ya mwezi Aprili pekee kutokana na agizo la kutotoka nje ili kudhibiti maambukizi ya COVID19

Asilimia kubwa ya waliopoteza ajira ni wafanyabiashara wadogo na vibarua, lakini waajiriwa na wajasiriamali nao wamepoteza ajira zao kutokana na agizo la kutotoka nje ambalo limekuwepo tangu Machi 25 mwaka huu

Kituo cha Ufuatiliaji wa Uchumi wa India (CMIE) kimesema kiwango cha ukosefu wa ajira kimeongezeka hadi 27.1% lakini Wataalamu wameonya kuwa athari la agizo hilo zitaongezeka zaidi

Serikali ya India imeanza kulegeza baadhi ya masharti katika maeneo ambayo yameripoti idadi ndogo ya maambukizi wakati yale yalioathirika zaidi yakiendelea kufuata masharti yaliyowekwa awali

=========

A lockdown to curb the spread of coronavirus has seen 122 million Indians lose their jobs in April alone, new data from a private research agency has shown.

India's unemployment rate is now at a record high of 27.1%, according to the Centre for Monitoring the Indian Economy (CMIE).

The new data shows India's unemployment figures are four times that of the US.

India doesn’t release official jobs data, but CMIE data is widely accepted.

The country has been in lockdown since 25 March to curb Covid-19 infections, causing mass layoffs and heavy job losses.

India currently has close to 50,000 reported infections.

Unemployment hit 23.5% in April, a sharp spike from 8.7% in March. This is attributed to the lockdown, which brought most economic activity - except essential services such as hospitals, pharmacies and food supplies - to a standstill.

Scenes of desperate migrant workers, particularly daily-wage earners, fleeing cities on foot to return to their villages, filled TV screens and newspapers for most of April. Their informal jobs, which employ 90% of the population, were the first to be hit as construction stopped, and cities suspended public transport.

But protracted curfews and the continued closure of businesses - and the uncertainty of when the lockdown will end - hasn’t spared formal, permanent jobs either.

Large companies across various sectors - media, aviation, retail, hospitality, automobiles - have announced massive layoffs in recent weeks. And experts predict that many small and medium businesses are likely to shut shop altogether.

A closer look at CMIE’s data shows the devastating effect the lockdown has had on India's organised economy.

Of the 122 million who have lost their jobs, 91.3 millions were small traders and labourers. But a fairly significant number of salaried workers - 17.8 million - and self-employed people - 18.2 million - have also lost work.

Agriculture, which remains the mainstay of the Indian economy, has bucked the trend, adding workers in both March and April. This isn’t unusual as many daily-wage earners return to farming in times of crisis, according to CMIE.

But experts warn that the economic cost of the lockdown is only starting to get higher.

"It is imperative that India weighs the economic cost of the lockdown on its people," Mahesh Vyas, CEO of CMIE told the BBC.

The government has begun to ease restrictions in some zones or areas which have reported a lower number of infections, while strict curfews are still in place in districts that have seen a higher number of Covid-19 positive cases.

"Zoning is a good starting point but, it cannot help for too long," Mr Vyas says. "Regions cannot work in silos. People, goods and services need mobility. Supply chains need to start working before businesses run dry of finances.”

The lockdown is slated to end on 17 May but some states have extended it further, with no clear indication as to when the country as a whole might emerge from the lockdown.

Experts are also worried because India had entered the lockdown with already high unemployment levels. At 8.7%, the rate was already at a 43-month high, up from just 3.4% in July 2017, according to CMIE.

BBC
 
Mbowe na genge lake wasome hapa

Kina Mbowe wanajidai na mshahara wanaolipwa Ndio wanalilia lockdown
 
Mbowe na genge lake wasome hapa

Kina Mbowe wanajidai na mshahara wanaolipwa Ndio wanalilia lockdown
Wabungre wa chadema Baada ya kulipwa milioni 110 kila mmoja ndio wakakimbilia lock.down kula Bata!! Chadema genge la matapeli
 
Bora hata wao wanajali hilo la watu kupoteza kazi.

Watanzania ni kama watoto wa bata, hakuna anayejali una kazi, huna, ulikuwa nayo ukapoteza - hakuna anayehangaika.

Nchi ina watu Milioni 60 lakini serikali imeajiri watu LAKI 5 tu na imeshindwa kuwadumia MISERABLY.

Njia tuliyochagua ya kutatua matatizo yetu ni KUTOYAZUNGUMZA KABISA "MUTE" na kujifanya kuwa hayapo.

Ndio maana hakuna anayezungumza watu waliokuwa wanafanya kazi Hotel za Kitalii, Makampuni Ya Kitalii na Shule Binafsi Kupoteza Kazi.

Wala hakuna anayejali graduates lundo walioko mtaani bila ajira tangu 2015.

Tanzania !!

What a Failed State.
 
Back
Top Bottom