India nako kuna tabu ya usafiri utadhani bongo vile.

sasa sijui nauli zao unazichukuaje hapo?????????
 
hawa usafiri wao ni zaidi ya wa tz!kwao hawa abiria ktk daladala wanapanda hadi ktk carrier!
 
Hawa ndio tuliwapaga TRC kweli waiboreshe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…