Nimekuwa nikivisit humu kama guest,now nimefikia uamuzi wa kujiregister humu kwa sababu zifuatazo..
Nimekuwa nikikasirishwa na maamuzi ya kuoneana huruma
Unyanyaswaji unaofanywa na vyombo vya dola
Sioni sababu ya kuendelea kuwa kimya kwa yote yanayotokea ndani ya nchi hii
kwa haya machache napenda kujitenga na chama chochote cha siasa na kinachofuata ni harakati binafsi, nazo zitajumuisha matumizi ya nguvu na akili zangu binafsi katika kupambana kwa ajili ya vizazi vijavyo vitakavyo ishi katika ardhi hii..
kwa kuanza tu natangaza Uadui na Jeshi la Polisi.. na mapambano yangu yataanza na hawa,natanguliza pole kama kuna atakayedhurika na hadhma yangu, lakini napenda sema kuwa uvumilivu umenishinda..pole zaidi kwa ndugu na jamaa wa polisi ambao watakutana na hitma ya maamuzi haya.